Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Mtoto sio issue kama maelewano hakuna bora ajikatae tu mtoto isiwe pingu ya kumfungaPoleh sana
Japo mi nakushauri upumzike afu badae urudi kwako
Mna mtoto
WordKipi umekimiss kwa huyo jamaa mpaka uwe na maumivu hivyo?
Mkuyenge hakupi
Kakununia
Ana wanawake wengi
Hajari watoto
Hakupendi.
Au ni handsome sana??
Au unaogopa mtaa utakuonaje miaka 34 hujaolewa??
Au unaogopa jamii itakushangaa kua umeachwa??
Watoto unao tena 2 kabisa, si ajabu kazi/shughuli ya kukuingizia kipato unayo..
Jitathmini ndgu yangu.
No matter how long the night will be, morning will eventually come.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yan comgu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Hahah n suala la muda atakaa sawa tuWazaz wako wakija kusoma andiko hili ajui watajiskiaje.. wamekuzaa.. wamekusomesha had umekua mtu mzima. Gharama nying.. leo hii umeamua kuteseka na mapenz sabab ndo eneo ambalo umeona la muhimu saaaaana kuliko chochote maishan..
Sis wanadam ni viumbe wa ajabu sana aisee.. badala uwekeze akil kwenye mambo ya maana.. unaendekeza mizagamuo.. daah
Pole sanaZilikiwepo ila ndio mtu unataka mume.tu
Dai talaka.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Chakwanza chakujiuliza ulizaliwa naye?na je utakufa naye?kuhusiana na hivyo hitu, biashara japo inauma ndio lakin anza upya namungu atavirejesha, kwann ulazimishe mtu akupende, huyo mtoto mwambie ukweli bwana mm na baba yako tumeachana na yeye ndochanzo hanitaki. Mwache mtoto ajue ukweli na huku ukianza maisha yako upyaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Na katika kosa kubwa wanalofanya wanawake kwa waume zao ni kuwaona hao wanaume ni mandezi, kumbe hapo mwanaume anajua kila kitu kinachoendelea sema kainamisha kichwa kama kobe huku akitunga sheria. Baadaye bomu utakalopigwa unaanza kulia lia kwa watu ili wakuonee huruma (unatafuta sympathy)!Dada kwanza pole Sana kwa mazito yaliyokufika n mapito tu hili nalo litapita Kama mengine tu
Sasa dada nimefuatilia nyuzi zako huko nyuma inaonekana mwanzon ulikuwa na mahusiano na mtu mwingne na mkafanikiwa kupata mtoto wenu kwa mujibu wako yupo std 3 kisha mkaachana japo s kwa Aman baadae ukapata mtu mwingne mmeishi pamoja mkapata mtoto Leo mmeachana Tena sasa huoni Kama Kuna shida mahali dada yangu?
Kila mtoto na baba yake na bado n binti wewe unaweza ukapata mtu mwingne akakuzalisha Tena sidhan Kama mtu akuoe asitake mtoto na yeye
USHAURI wangu hebu jifanyie tathmin kwanza wewe mwenyewe kabla ya kuwanyoshea vidole hao wanaume uliopata zaa nao na mkaishi pamoja
Huko nyuma katika wako mmoja ulipata kuyasema haya kuwa mzazi mwenzako anamawasiliano na wewe. Ambayo hukuyapenda kwann hukumblock mapema kuepusha matatizo unadhan mwanamme ambaye unaishi naye angefurahia hayo mawasiliano wakat yeye ndye anayetoa huduma? Usimuone Kama ndez hyo mwanaume wa mwisho uloyeoshi nae lazma alikuwa anafuatilia nyendo zako
JITATHMIN
Kiasi nachukua wanawake kwa kile mke wangu alinitendea.... Sikufichi heri huyo mumeo kakuwahi maana nyinyi ni mashetani hamna huruma... Ila pole😏Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
emu twambie kikubwa kilichokufanya maisha ya hapo yakushinde ni niniHaujanifukuza lkn je ndio nitaubadilisha moyo wake? je hata nikirudi nitadum kwa muda gan sababu anachofanya hata yeye haelewi ni vile hanipendi ndio anajikuta
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke
usingizi sio dawa, amka usingizini majibu yatakujaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Simple issue ya kufuata mihemko imekufanya urudi nyuma. Hili ndio tatizo la General Partnerships nyingi kufeli ikiwemo ndoa.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Pole Sana kipenz changuMwenyewe kama wewe,nahisi una kheri kidogo,mi alikuwa ananiacha Kwa miez 6 bila huduma ukimuuliza anasema ndo maana nilioa mwalimu....nimeishi nae miaka miwili nimeona nae mara 5.Nilivumilia Kuogopa watu wataongea Nini...but moyo ulivyochoka niligeuka jumla na sikurudi nyuma.Mali zinapita tu,embu jikaze anza 1 na utafika panapostahili ...nilitamani kufa ila nilipowaza watoto na utamu wa debolo....nikasema 🤪.....just move on baby....ninao wawili watoto..miaka 7 na 2 yrs old.Naganga🤜 kazaaa😉😉😉
Wanasayansi bado hawajapa dawa ya kutibu maumivu ya mahusiano, atakae igundua atapiga sana pesa.
Pole sana siwez kuongeleasana ndoa sabbu sijapitia huko lkn nakuonea hurumaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Sawa lkn sio wakt wake ulishapona maumivu Yako unajua pia hali wanazopitia wengine punguza ukali wa manenoKiasi nachukua wanawake kwa kile mke wangu alinitendea.... Sikufichi heri huyo mumeo kakuwahi maana nyinyi ni mashetani hamna huruma... Ila pole😏