MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,517
- 39,088
Unahitaji counseling on a serious note. Njia ya kwanza ya kutatua tatizo ni kujua chanzo chake and then you take appropriate responsibility. Kindly be advised.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Baada ya muda kupita, maumivu hupona kupitia tiba asili iitwayo 'sahau'...na hapo ndio thamani na umuhimu wa kuumbiwa 'sahau' kwa binadam huonekana.Yan maumivu yanaishaje moyoni
Au utakuwa unameza vidonge vya ARV ndo akili zinakuwaga hiviBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Nyie watu nyie[emoji23][emoji23][emoji23]Au
Au utakuwa unameza vidonge vya ARV ndo akili zinakuwaga hivi
Jaman imebid nichekeAu
Au utakuwa unameza vidonge vya ARV ndo akili zinakuwaga hivi
WAKUU ndg dudumizi na wengineSiwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Ni YesuWanasayansi bado hawajapa dawa ya kutibu maumivu ya mahusiano, atakae igundua atapiga sana pesa.
Run to God it's the best solution ever....Siwezi ninawatoto 2
1) miaka 7 baba yake alishafariki
2) ana mwaka 1 wote wananitegemea siwezi fanya chochote kibaya Mungu anisaidie
Bila shaka Amefariki kwa UKIMWI, na ww najua unao ndo Maana Mumeo hakutakiMmoja ndio wake huyu mdogo,,, wa kwanza baba yake kafariki ana mwez 1 sa
Najikuta machozi yanakauka naanza kucheka tuBila shaka Amefariki kwa UKIMWI, na ww najua unao ndo Maana Mumeo hakutaki
Kwa kuacha vitu vyako umefanya jambo la maana sana. Mumeo atakufata tu relax mda utaongea, haijalishi wewe ndo achanzo au yeye mi mi sitaki kujua maana ungefafanua mwenyewe.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Jmn mmenichoka kias hicho?Mkuu umenifanya nicheke sehemu ambayo watu wamekaa wana huzuni. Lady in action atakua na file Mirembe
Pole sana mkuu.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Hapana mamii, tunakupenda sana, in fact mimi shughuli yangu ni kuwatuliza wajane (walio achwa na waume zao kwa namna yoyote kifo au talaka). Hiyo ni sadaka kubwa sana.Jmn mmenichoka kias hicho?
Ili tubalance tupate story upande wa pili,itakuwa umeyakanyaga uko umechepuka umepigwa ban ya maisha unatafuta huruma za watu.
Tulieni kwenye ndoa ajira zenyewe ngumu,umeshapoteza ajira ya
Nimenyanyuka nikaenda kuoga maana tangu kumekucha hata kitandani sijaamkaWewe msanii tu, kuchati kote huko eti utaki kunyanyukaaa aloooo
Embu acha utoto, wewe ndio wa kwanza kuwa na mahusiano?? Acha kulia lia bhana.
Kweli Mkuu, Amini kwambaNajikuta machozi yanakauka naanza kucheka tu