Mnaanzaga mahusiano na wajinga wajinga mkinyooshwa mnaanza kulia lia.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Ndio shida ya kusikiliza moyo kuliko akiliYani huyu Dada mkuu inaonesha anampenda Sana huyo jamaa Tena Sana.
Na hata kenye mahusiano kabla ya kuingia kwenye ndoa kulingana na yeye nyuzi zake alivyoeleza, Kuna viashiria vilijionyesha kuhusu huyo jamaa ila halivipuuzia, hayo naamini alimpenda huyo jamaa.
Walifanya haraka Sana, hakuwa na kusumbiri na kumjua huyo jamaa fresh"ugonjwa ukiwa unaanza ni ngumu Sana kuugundua lakini ni rahisi kuutibu,,, ugonjwa ukikomaa ni rahisi Sana kuugundua lakini ni ngumu kuutibu".
Pole Sana, nimesoma nyuzi zako nyingii, nimeona jins gani ugonjwa ulivyokuwa unaanza lkn ulikosa kuutibu mapema Kwa kigezo Cha nitambadilisha kwenye ndoa, au nitambadilisha awe nitakavyo. Huo msemo huwa unawagharimu watu wengi
Kosa gani mkuu.Kuna kosa Moja kubwa la kiufundi sana umelifanya .
Usingelifanya Hilo,na ukajua namna ya kumdeal, ungemuweza kabisa
😂😂😂😂😂😂Ukifuatilia nyuzi za huyu dada utagundua kua plug zake hazichomi vizuri kichwani
Kwahiyo hutaki mgawane mali umeamua kumwachia kila kitu? Huyo mtoto unamlea vip? Au umesahau haki zako ukishaishi na mwanaume zaid ya mika miwili muwe na ndoa au msiwe na mdoa? Umesahau?Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Ungeeleza kinaga ubaga Yale magumu uliyopitia kwenye ndoa yako ndio tujue jinsi ya kukushauri dada.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Nasikia ukiondoka mwenyewe haupati kitu mpaka awe amekufukuzaKwahiyo hutaki mgawane mali umeamua kumwachia kila kitu? Huyo mtoto unamlea vip? Au umesahau haki zako ukishaishi na mwanaume zaid ya mika miwili muwe na ndoa au msiwe na mdoa? Umesahau?
Sheria ipi? Na si ujiulize yeye mwanaume akiondoka inakuwaje?Nasikia ukiondoka mwenyewe haupati kitu mpaka awe amekufukuza
Kwani ww si mmojawapo wa wanaoumizwa?Sawa lkn mnawaumiza sana jmn ukweli usemwe
Pole ,hebu tupatie mrejesho unaendeleaje lady in action ?Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Atu update
Pole mamaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Pole sanaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O nina mtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Pole dear....But ikitokea unahitaji mkuyenge services, dont hesitate..My PM is widely open for you.