MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,605
Heshima kwenu wana jamvi..
Hapa nilipo nina hasira mbaya na Mkenya mmoja hivi senior manager wangu.. Nimecheki account jana nikagundua mimi nimepata bonous kidogo sana kuliko kawaida ( yaani kama sijapata) wakati nilishaipangia budget murua..
Na hii imesababishwa na Mkenya mmoja senior manager wangu ambae ndie tuliyekaa nae for performance uppraisal na alinibana sana kwenye maksi..
Nishaurini nimpe adhabu gani yaani mtu mgeni aninyanyase kwenye nchi yangu kisa Mkenya.. Nimeshaenda uhamiaji na siku yeyote atavamiwa na jamaa waje wamkague vibali, na baada ya hapo ndo nafikiria adhabu yake hasa ya kumpa
Naombeni ushauri wadau nimfanyeje huyu Mkimbizi