Nimenusurika kuuliwa na radi

Aisee
 
Ukisikia PAAAAH, ujue imekukosaa πŸ˜ŠπŸ˜†πŸ˜‚
 
Kuna moja ilinimulika mchana huko kigoma hadi nikahisi nilikuwa nafanyiwa upareshen ya macho nikatoka mbio nikakimbilia kwenye mtaro wa maji wakati nilikuwa nimejificha kwenye kibaraza cha nyumba za barabarani
Huko magharibi mwa Tanzania, Radii zinapigaa mchana kweupeee jua linawakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…