Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Pole sanaJamani ajali haina kinga,gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu,baada ya kuferi breki.Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu,likajaa wanguwangu mpaka chumbani.Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana,tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia,kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
Nimefunga swahumu mwezi mzima,yaani nimeshatajitayalisha na kanzu zangu kwa ajili ya kwenda kuswali kesho,ndiyo yametokea haya,kila kitu hupangwa na Mwenyezi Mungu.Pole sana, uende kwenye nyumba ya ibada ukashukuru pia muepuke kuishi kwenye nyumba pembezon ya barabara
Huwezi kujua swaumu yangu ya mwezi mzima imenisaidia, Maana kwenye kufungu, huwa tunaomba Duwa, labda ya kuomba Mungu aniongezee maisha marefu imekubaliwaBora ungekufa tu, kwenye gari kulikuwa hamna mtu lilijiendesha? Nenda kale kitimoto kesho asubuhi.
Muuza kangala,ajali hiana kinga,huwa nasafiri kalibu kilomita alfu3 kila mwezi,nashuhudia gari kibao njiani zimeanguka,huu ni mwaka zaidi ya ishirini,lakini leo gari imenifata chumbani kwangu,jiulize wewe uko salama sababu ya kangara yako?Bora ungekufa tu, kwenye gari kulikuwa hamna mtu lilijiendesha? Nenda kale kitimoto kesho asubuhi.
Pole sana ndugu. ila hapo inakuaje inafeli break na gari ilikua hakuna derevaJamani ajali haina kinga,gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu,baada ya kuferi breki.Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu,likajaa wanguwangu mpaka chumbani.Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana,tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia,kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
Muwe mnashukuru Mungu kila wakati sio mpaka unusurike kifo au mitihani ya maishaPole sana, uende kwenye nyumba ya ibada ukashukuru pia muepuke kuishi kwenye nyumba pembezon ya barabara
Pole sana, mshukuru Mungu sana kwa jambo hiloJamani ajali haina kinga,gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu,baada ya kuferi breki.Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu,likajaa wanguwangu mpaka chumbani.Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana,tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia,kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
.... hakuna aliyeumia! mwenzetu una wake wangapi humo chumbani?Jamani ajali haina kinga,
Gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kuferi breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
Kesha kuambia lilikuwa limeegeshwa, dereva aliliacha bila kufunga breki ya mkono na huenda kuna mteremko.Sasa mbona kwenye gari hakukuwa na mtu au Ndoto bro.