Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 990
- 1,637
Akhasante mzeeππππππ poleee
Kabisa mkuu kwa tukio la leo bado mpaka saa hivi nimepigwa na butwaa tumejitahidi kufuatilia fidia tumetishwa kila aina ya manenoAlafu unakuta mtu anajisifia kutokwenda kituoni/central.
Pale kwa wote inategema unaendaje endaje ila naamini wote wanaoenda pale sio waharifu ni watuhumiwa
Halafu wanaomba ushirikiano na raia..Kabisa mkuu kwa tukio la leo bado mpaka saa hivi nimepigwa na butwaa tumejitahidi kufuatilia fidia tumetishwa kila aina ya maneno
hospitali na kituo cha polisi muda wowote unaendaAlafu unakuta mtu anajisifia kutokwenda kituoni/central.
Pale kwa wote inategema unaendaje endaje ila naamini wote wanaoenda pale sio waharifu ni watuhumiwa
Yeah inawezekana kabisa,
Marais, Majaji, Majenerali wa Jeshi, Mabosi wa Intelligence Agencies, Makamishina wa Polisi, Wafanyabiashara na Matajiri Wakubwa, Viongozi wa Dino, na wengine wengi kama hao, nao hawajawahi kukwepa "kunyea debe"! Sasa huyo Victoire atakuwa kwenye sekta ipi kwenye dunia hii hadi afikie kuapa "never ever" atakuja kulala polisi maishani make?!Yeah inawezekana kabisa,
Huyo victorie atakua ni polisi na vyeo vyake au yupo kwenye sekta nyeti nyeti kwaiyo usimbishie
Marais, Majaji, Majenerali wa Jeshi, Mabosi wa Intelligence Agencies, Makamishina wa Polisi, Wafanyabiashara na Matajiri Wakubwa, Viongozi wa Dino, na wengine wengi kama hao, nao hawajawahi kukwepa "kunyea debe"! Sasa huyo Victoire atakuwa kwenye sekta ipi kwenye dunia hii hadi afikie kuapa "never ever" atakuja kulala polisi maishani make?!
Hapo sawa!!Atakua na uwezo usio wa kawaida jini π