The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
unakaa kuzimu au?Juzi nimesajili laini ya vodacom kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.
Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?
Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.
Wewe umezoea kudukiliwa ndiyo maana umekomaa na line yako ya wanasiasa.Juzi nimesajili laini ya vodacom kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.
Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?
Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.
Nijipange upya kufanyaje?Kajipange upya.
Binafsi sijawahi kutumia mtandao nje ya voda kwa miaka zaidi 14 iliyopita.Mimi pia niko Daslam speed yao naona ni nzuri
Mitandao yote inadukuliwa hivyo hoja ya voda kudukuliwa ni hoja ya kitoto. Sheria pia iliyopitishwa na bunge inalazimisha hao watu kutoa taarifa zako kwa wenye mamlaka.Wewe umezoea kudukiliwa ndiyo maana umekomaa na line yako ya wanasiasa.
Kuzimu ndio wapi?unakaa kuzimu au?
Mitandao yote inadukuliwa hivyo hoja ya voda kudukuliwa ni hoja ya kitoto. Sheria pia iliyopitishwa na bunge inalazimisha hao watu kutoa taarifa zako kwa wenye mamlaka.
Juzi nimesajili laini ya halotel kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.
Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?
Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.
Mwezi mzima bila kikomo ni uongo. Ni kweli ni mwezi mzima lkn kikomo ni 500MB kwa siku.Halotel wanajitahidi sana upande wa internet, speed yao ni nzuri labda kama tu haikua poa kwa wakati huo wewe unatumia. Najiunga Royal bando kwa 10,000/= naperuzi mwezi mzima bila kikomo.
Mimi pia, nina miaka zaidi ya miwili natumia simu ya laini mbili lakini nilikuwa naweka line moja tu hiyo halotel nimeanza kutumia kama miezi miwili iliyopita baada ya kuona Voda mb zinaenda kama upepoBinafsi sijawahi kutumia mtandao nje ya voda kwa miaka zaidi 14 iliyopita.
Ndio najaribu tofauti hapa kwa halotel ila naona iko chini sana.
Hapana, natumia simu bora zaidi kwa sasa Duniani.Simu yako ni Nokia ya tochi nini??!!🤣🤣
Oooh, basi vizuri. Kwa hivyo nisiwe na mashaka huko bush itanipigia kazi vizuri?Halotel iko vizuri ukiwa nje ya mji
Vodacom kwa upotevu wa mbs kwa kweli ni kero kwa sass. Vifurushi bei ghali alafu data zinapotea kama upepo.Mimi pia, nina miaka zaidi ya miwili natumia simu ya laini mbili lakini nilikuwa naweka line moja tu hiyo halotel nimeanza kutumia kama miezi miwili iliyopita baada ya kuona Voda mb zinaenda kama upepo
Duuu, wewe jamaa acha uongo unasema hujaona mbadala wa voda kwa DSM? Tigo na airtel wako vizuri kwa internet labda useme vifurushi ni ghaliJuzi nimesajili laini ya halotel kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.