Nimenunua line ya Halotel, spidi ya internet yao ni kama ya kinyonga

Juzi nimesajili laini ya halotel kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.

Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?

Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.
Halotel huku kijijini iko faster sana
Ni kama 4g ya voda mjini
 
Oooh, basi vizuri. Kwa hivyo nisiwe na mashaka huko bush itanipigia kazi vizuri?
Niko Kilindi hapa “kikazi “natumia Halotel kusend na Kupokea report zangu iko poa tu ,cha zaidi tukienda ndani ndani mitandao mingine ina fail lkn Halotel inasimama!
 
Mkuu mimi nimetumia internet ya Voda kwa miaka zaidi ya mitano ila halotel naona iko vizuri kuliko Voda

Ulikuwa unapimwje kuwa halotel iko vizuri?

Mfano, as an IT geek...

Nimegundua Halotel wanaoptimize speed kutegemeana na website. Mfano nikienda youtube na halotel napata kasi kubwa ila nikibrowse websites nyingine kasi inakuwa ndogo.

The only way ya kujudge speed ni kwa kurun internet speed tests. Je, umewahi kufanya hivyo kwa Voda na halotel?

My personal SIM card is vodacom na my home wifi is halotel (cost effective)

Nikirun speed tests vodacom inaiacha mbali sana halotel na hata kwenye matumizi ya kawaida I feel the same.

Mind you hapo Vodacom inasoma minara 2 wakati halotel ni 3 au 4 kabisa.
 
Sawa bwana IT, mimi sio mtaalamu ila ninachojua ndio hicho kuwa halotel ina speed kuliko vodacom
 
*148*66#
Chagua na.2 (Royal bando)
Chagua 10K, 20k, 30k, 40k au 50k. (Zinatofautiana kwenye dakika na zile GB za bonus)
Nimelichek mkuu ila lina MB chache sana kulingana na matumizi yangu.

Lina GB 2 zenye kasi kubwa halafu kuna GB 1.5 zenye speed ya kobe
 
Halotel wanajitahidi sana upande wa internet, speed yao ni nzuri labda kama tu haikua poa kwa wakati huo wewe unatumia. Najiunga Royal bando kwa 10,000/= naperuzi mwezi mzima bila kikomo.
Hio Royal bundle hali ikoje ukimaliza zile 3.5GB? Maana mi nilisajili mara mbili yani ile ya 3G nikaua nikanunua ya 4G zilipotoka.

Ila usenge tu, yaleyale kwanini wadanganye ni unlimited internet kisha wabane speed. Yani mpaka hamna raha ya kutumia hela yako kubwa kujiunga. Ni ufyuzi tu after 3-4 days na unateswa mpaka mwezi uishe. Mambo ya kizamani sana.
 
Back
Top Bottom