Nimenunua line ya Halotel, spidi ya internet yao ni kama ya kinyonga

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,857
2,000
Juzi nimesajili laini ya halotel kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.

Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?

Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.
 
MKUYENGE

JF-Expert Member
Jun 26, 2019
4,134
2,000
Juzi nimesajili laini ya vodacom kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.

unakaa kuzimu au?
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,976

Wewe umezoea kudukiliwa ndiyo maana umekomaa na line yako ya wanasiasa.
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,167
2,000
Jaribu TTCL iko vema.
Halotel kuna muda huzingua ht ktk utumaji sms unaweza letewa delivery report kesho kutwa aisee.
Mitandao yote inadukuliwa hivyo hoja ya voda kudukuliwa ni hoja ya kitoto. Sheria pia iliyopitishwa na bunge inalazimisha hao watu kutoa taarifa zako kwa wenye mamlaka.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
8,041
2,000
Juzi nimesajili laini ya halotel kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.

Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?

Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.

Simu yako ni Nokia ya tochi nini??!!🤣🤣
 
tracebongo

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
1,362
2,000
Halotel wanajitahidi sana upande wa internet, speed yao ni nzuri labda kama tu haikua poa kwa wakati huo wewe unatumia. Najiunga Royal bando kwa 10,000/= naperuzi mwezi mzima bila kikomo.
Mwezi mzima bila kikomo ni uongo. Ni kweli ni mwezi mzima lkn kikomo ni 500MB kwa siku.
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,749
2,000
Binafsi sijawahi kutumia mtandao nje ya voda kwa miaka zaidi 14 iliyopita.

Ndio najaribu tofauti hapa kwa halotel ila naona iko chini sana.
Mimi pia, nina miaka zaidi ya miwili natumia simu ya laini mbili lakini nilikuwa naweka line moja tu hiyo halotel nimeanza kutumia kama miezi miwili iliyopita baada ya kuona Voda mb zinaenda kama upepo
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,857
2,000
Mimi pia, nina miaka zaidi ya miwili natumia simu ya laini mbili lakini nilikuwa naweka line moja tu hiyo halotel nimeanza kutumia kama miezi miwili iliyopita baada ya kuona Voda mb zinaenda kama upepo
Vodacom kwa upotevu wa mbs kwa kweli ni kero kwa sass. Vifurushi bei ghali alafu data zinapotea kama upepo.

Mimi bado niko nao sababu ya speed ya internet yao ila wakiendelea na huu ucenge wao wa kupunguza mbs na kuzitafuna kama upepo ntawapiga chini mazima.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,000
2,000
Juzi nimesajili laini ya halotel kwa sababu nina shughuli ya kwenda kufanya vijijini huko nikaambiwa halotel ndio inapatikana huko, sasa ili nisikose mawasiliano ikanibidi kusajili laini ya Halotel.

Baada ya lusajili nikanunua na kifurushi kikubwa cha internet ili nifurahie huduma yao, aisee ni majanga makubwa. Niko hapa Daslam kasi ya internet yao ni ya kinyonga aisee. Sijui ni 2G au 3G ila iko chini sana. Sasa kama hapa Daslam napata kasi ndogo hivi huko bush itakuaje?

Mbadala wa vidacom kwa kasi ya mtandao hapa nchini bado sijaona aisee. Nikitoka bushi hii laini naieeka kabatini.
Duuu, wewe jamaa acha uongo unasema hujaona mbadala wa voda kwa DSM? Tigo na airtel wako vizuri kwa internet labda useme vifurushi ni ghali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom