Then i fogot....km kwel utalegea...sure i will...ingawa ww agree no commitment..
Dhambi bro, kaa naye mjadiliane hata ukihama usiende na gundu. Inawezekana alishapanga muda mrefu na ndo maana alikushawisi mlale wote the 1st dy.
njia rahisi sana wala haitaji ushauri,ya nn ujitese wakati nyumba nyingi tu za kupanga hama hapo kapange,tena unamuaga vzr tu na unamueleza uko na hny wako mazingira ya hapo hapendi na unakohamia hakikisha unamueleza wazi kuwa haruhusiwi kwa kuwa alikuita ulale nae basi waweza sema kwa ss imetosha
JF......... kuna maushauri ya kila aina..Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..
inawezekana why not?JF......... kuna maushauri ya kila aina..
Hivi ulivyomshauri mwenzio, wewe unaweza kufanya.
fanya ufanyavyo mkuu,mwisho wake ni kimoja kati ya niliyokwambia.Kuhama....tht seem my best idea...nasubir maboresho
Tehe...i wish i could andastand wat do u min....
Mm nilikija nakimbia najua umenasa ukimwi kama ni gal nikasema itakuwa mimba
Wewe hama nyumba tuu
Wasalaaam....
Baada ya mihangaiko yangu ya uku na kule nimenasa kwenye mtego ambapo kwa kwel nahtaj mawazo tofaut na yangu nijinasue.....
Najua kuna ambao watasema oooh ulijifanya mjanja u-play boy sasa cjui nn...i beg them to spare those shits kwa kwel.....by the way nataka nizeeke na full experience...
Nimetembea na dada ambae tunepanga nyumba moja...tena vyumba milango inaangaliana (walah niliapa kutokufanya ivo ila nilizidiwa ujanja)
Basi ck iyo aliniita tupige stori kwake...sa 3...mara 4..5..6..wkt nataka kurud kwangu nkapumzike akashaur tulale ote tu haina shida..baada ya apo u take a gues....
Uyu dada sina malengo nae it was jst a crush!!!...kibaya dada wa watu kanielewa ile mbaya..anataka kila ck tulale ote km sio kwake bas kwangu.....
To make it short nataka niachane nae for gud...ingawa najua kwake n ngum na hataman kusikia ivo...na nimefanya ujinga coz nimekua kama nimeji-block coz cwez tena kuja na msichana akijua anaweza kuingia na mlango..tehe....