BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Watu wana vipaji but hawataki viwaingizie pesa ..hawamuoni Yericko Nyerere?
Ungekuwa marekani ungekuwa milionea kwa utunzi
Ungekuwa marekani ungekuwa milionea kwa utunzi
Ndefu sanaNimeshindwa kusoma yote
ila nimejiuliza why mtu unaonekana smart hadi kuandika details na tarehe kabbisa
ushindwe kufanya maamuzi rahisikabisa?
why mwanaume eti useme 'umenasa' huku unaona kuna hatari kubwa ya
kutatuliwa marinda au hata kuuwawa mbele yako?
unless hii story fake basi una 'moyo wa kike sana'
Ndefu sana
Nmeishia pale nmemaliza form six 2015..watoto walojaa humu kasheshe
😂😂naunga mkono hoja.