Nimenasa kwa mke wa mtu mtarajiwa

Nimeshindwa kusoma yote
ila nimejiuliza why mtu unaonekana smart hadi kuandika details na tarehe kabbisa
ushindwe kufanya maamuzi rahisikabisa?

why mwanaume eti useme 'umenasa' huku unaona kuna hatari kubwa ya
kutatuliwa marinda au hata kuuwawa mbele yako?

unless hii story fake basi una 'moyo wa kike sana'
Starehe na rahisi sana Ku type kwa kutumia vidole
 
Usiombe mwanamke akugande namna hii, kama huna moyo mgumu utadata.

It heppened to me once, binti alikuja kwangu toka Mwanza kwa minajili ya kuonana na kusepa. Alipofika kidogodogo akapafanya kuwa kwake.

Uzuri mimi sikuwa na mpenzi zaidi yake ila kitendo cha kuhamia kwangu passively kilinitia wasiwasi. Ikafika muda wa mimi kusepa pale nlipokuwa maana kilichonileta kilikuwa kimeisha.

Kimbembe kikaja kwenye kuachana. Binti akawa hataki kabisa nisepe. Akatafuta sehemu akalipia kila kitu tukaendelea na maisha. Hapa na hapa ikabidi baharia nitafute mahali pangu kimya kimya nikalipia na kuweka mipango mizuri ya kumtoroka.

Katika vitu nlivyojichanganya ni kuruhusu apajue kazini kwangu. Baada ya kugundua nimesepa pale kwake akatia maguu kazin kwangu. Tena kipindi hiko akawa anadai ana mimba yangu. Ilikuwa kasheshe.

Mengi yalitokea hapo kati lkn mwisho wa safari tuliachana. Kinachonisikitisha kwa sasa katangulia mbele za haki.

Mpende sana huyo dada na tumia akili na busara sana kum-handle. Naamini akishazaa akili zitamkaa vizuri.

RIP Kanze

Unforgetable
 
Alikuwa member wa jf pia??
 
Habar zenu wanajukwaa
Kwasasa member wenu nipo kwenye kipindi kigumu sana nimenasa kwenye trap na siwez kutoka, huyu mke wa mtu mtarajiwa ananipa mawazo mengi kichwani nimejarib kila way but I failed nimekuja kwenu maybe mnaweza nipa msaada wa kuweza kushinda hili Janga.

Kabla sijaenda kwenye mada husika, ngoja niwape intro kidogo mwaka 2014 mwshon nilianza mahusino na dada mmoja hivi ambae tulifahamiana kupitia joint exams. Of course huyu dada tulielewana sana waswahili wanasema kushibana. 2015 nilimaliza 6 na yeye pia, kutokana na masuala ya JKT nilikwenda huko basi hapo mawasiliano ndo yalikata. Nikiwa JKT nilikuwa nikimtafuta sana but alikuwa hapatikani mpaka nmeanza chuo alikuwa hapatikan na hakuwai kunitafuta bhs me nilimpotezea

07/2017
Nikiwa kwenye mishe zangu hapa mjin likizo nilikuwa natoka field nilikutana na rafiki ake wa advance basi tukasalimiana vizur tukabadilishana na namba za cm, hapa nikafanikiwa kupata namba yake. Nikamcheki tukastory sana bt alinambia yeye yuko chuo mwanza, tukawa tunachat tunatafutana sana but hatukuwai kuongelea abt mapenzi zilikuwa stry za kawaida tu. Kadri muda ulivozid kwenda tukawa hatuwasilian sana mpaka tukaacha kutafutana

08/2018
Nikiwa zangu home nmetulia, nimemaliza chuo tayar alinitafuta kwa namba mpya akanambia kuwa ni yeye bhas hapa tukaanza kuchat sana akanambia jins alivonimiss kitambo hatujaonana na hatukuwai kukosana anapenda sana siku anione. Tulikuwa tunapigiana sana vd call ofcourse nilikuwa namwona the way alivochange wakt naachana nae alikuwa wa kawaida ila niliona kawa anashape nzuri,kanawiri mtoto katakata sio poa, akanambia kwa sasa yupo anapiga mshe zake. Hatukuwa intouched san japo tulikuwa tukichekiana tunachat kwelkweli

02/2019
Ni siku ambayo alikuja Dar, akanitafuta tulipiga sana story sikuhiyo tulikwenda pale lifepark mwenge tukachili akaniaga kuwa kesho ataondoka dar

06/2019
Hapa ndo story inaanza rasmi, mwezi 6 alihamia dar akanipigia sim kwamba kwa sasa atakuwa dar amehamia. Alikuwa anaomba sana tumeet nilikua busy sana na masuala ya kioffice hvyo ilikuwa ngum na nilikua sina ham au mzuka nae,sikuwai hta chembe kufikiria kuwa nae. Baada ya kuendelea mzungusha ndipo alipoanza kulalamika nakunambia nachomfanyia sio kizuri akaendelea kulalama kuwa nikosa lipi ambalo amelifanya mpaka namfanyia hvo? nikampromise nitamtafuta bila kumtafuta.

07/2019
Ilikua ijumaa wiki ya kwanza kabisa ya mwez7 alinipigia cm na kunambia yuko makumbusho anahitaji kuonana na me, coz nilikua job wkt wa kurud nikapitia makumbusho tukameet pale but alinambia anataka tutoke twende sehem yyte iliyotulia. Nikamwambia inabdi nirud kwangu kubadilika then ndo tutoke hapa ndo ujinga niliofanya kuja nae kwangu. Baada ya kufika kuingia seblen akaanza kulalamika why nilikuwa namchunia? Na hana kosa? Au kunimiss kwangu ni shida? nilimsogelea na kumshika mkono nikamwambia yaishe mama. Baada ya kumshika mikono alizungusha mikono yake kiunoni kwangu na kunivuta ili anipe denda nilikwepesha, kitendo kile kilifanya aanze kuongea maneno na kukumbushia yale ya nyuma yan daah mzee baba nikalainika nililijikuta naacha afanye anachotaka. Tulikwichi kidogo coz ya muda na tulikuwa tunataka toka. Tulikwenda ledger plaza kunduchi wakt tupo pale tulipiga picha nyingi sana na zingine tukiwa swimming pamoja. Mwenzangu kumbe alikuwa anapost zile picha whatsapp.

Tulikaa pale mpaka mida ya sa6 usiku nikammwambia mama time ya kuondoka utachelewa home, akanambia anaspend na mimi usiku wote ilibidi twende hotelin paleple kunduch. Kama kawaida tulikwichi tena akalala ofcoz me sikuwa na usingizi bhs tu nilikua nawaza juu yake, ghafla yule rafik ake wa advance alinichek baada ya kuona status alizopost tukiwa swimming tena tumeshikana kimahaba. Alinidm tukaanza chat akaniuliza kama nmerudiana na X nikamwambia hapana hakuna chochote, si kunitumia zile picha wakuu nikabak nashangaa coz me nilikua sijui kama kapost. Akanambia champagne becareful X anamtu wake na soon ataolewa kalipiwa kila kitu kwan hajakwambia?? Nikamwambia kanambia ili kuzuia maswali mengine, akambia ndo hvo mali ya mtu hio tayr najua Ex haachwi.

Yeye X Alikuwa kalalamuda kama sa8 hivi ilikuwa, nilianza yaamin yale maneno ya best ake coz pemben Dada alikuwa na iphone X mbili nikachukua mkoba wake nichek nikagundua alikuwa na pesa kibao tu, nikagundua sio yeye kuna mtu ananunua coz hata me nilimshtukia na roho ilikuwa ikakataa kabisa. Wakuu nilipatwa na wasiwas sana hali ya woga ikaniingia nikawa najiuliza why? Huyu dada ananitakia nini me?, alishtuka akaniambia why sijalala? Nikamwambia sina usingiz coz nilikua kwa coach, akaamka akaja nilipo akakaa kwenye mapaja yangu akataka tuanze sex tena, muda ule sikuwa na stim hasa na kuambiwa zile taarifa sikuwa na hamu nae.

Nikamwambia X naomba nikuulize kitu lakin naomba uwe honesty kwangu tena baada ya kuwa mkali akasema sawa, nikamuuliza aniambie life stry yake since tumeachana ile 2015 alinambia everything. Nikamuuliza upo kwenye mahusiano akasema ndio na soon ataolewa na mpaka sasa ana mimba ya 1month. Nilishtuka sana nikamwambia why unafanya hvi soon unaolewa na unasex na me na unamimba?? Na kwann hukunambia??, alinijibu kuwa kwa sasa anahitaji kuwa karib sana na me anafeel kuwa karib yangu hivyo hahitaj kutoa maelezo zaid ya hapo. Hakuna kitu nachoogopa kama mke wa mtu bhs akanisogelea karib yangu akaanza kunipa romance, nikamwambia leo ndo mwsho tukitoka hapa tusijuane kabisa akasema sawa. Kutokana na joto alilokuwa nalo na zle romance zake mnara wa babeli ukasimama tulisex mpaka sa1 asbh dada alikuwa na nyege sana mpaka nikawa nahis karogwa.

Baada ya kuachana pale hotelin nilivorud kwangu nilikuwa na stress sana na nilijutia kwa kitendo nilichofanya japo sikuwa nafaham. Nilikuwa nawaza huyo jmaa ake atakuw si mtu wa mchezo demu kuwa na iphone X mbili na kwenye pochi kulikuw na si chin ya 2m ni mwanamke high class na kutokana na maelezo ya best ake alinambia huyo jamaa anampenda sana X.
Alikuwa ananitafuta sana but nilikua sipokei calls zake wala sijib txts niliamua kumblock tu kuepusha usumbufu, alikuwa ananitafuta hta kwa no ngeni nikijua yeye nakata nikawa hata namba mpya sipokei najua ni yeye.

08/2019
Zilipita 2 weeks bila mawasiliano nae, nilishtuka sana kumkuta kwangu jion wkt nikirud mishe amekaa akinisubiri mkonon alikuwa na package kubwa ambayo ndan kulikuwa na jeans3, Tshits3, shirt2, Raba, saa, chen, boxers & vests. Nilimind sana why kaja? Na tulikubaliana hatokuja tena kwangu nikamwambia asepe sitak kumwona kwangu aondoke, akasema amenimiss sana ndomana kaja kuniona na why nimemblock?? Kwan amefanya kosa gani? Kwakuwa amenimiss ndo namfanyia hvo? Alianza kulia akanmbia yeye anasepa ila kama nataka nimpoteze mwanae na yeye kwaajili yangu hili hatonisamehe akasepa kwa hasira.

Akili yangu haikuwa sawa nilikua mtu ambae sielew nn nifanye, nikakawaza yule anaenda kunywa sumu coz wkt nipo nae 2015 alishawai kunywa sumu na alikataa kunywa maziwa mpaka mama yake aliamua kunipigia cm ili niongee nae anywe maziwa ndo kufanikiwa so ni mwanamke ambae anahasira mbaya sana na pia ana maamuzi magum sana. Ilibd nitoke speed nimfate nikimpgia cm alikuwa hapokei kabisa nikafanikiwa kumpata alikuw anataka chukua boda, nikamwita bhs ndo akaanza kulalamika pale huku analiaa ofcoz na lile eneo lilikua linawatu weng, maduka yan daah mpaka sooh! Ikabd nimvute karib nimwombe msamaha ili tuondoke, mzee mmoja alinifata akanambia msikilize uyo dada anakupenda sio vizuri mwanamke alie hvo, ile scene tuliyocheza pale niliona aibu sana.

Tulivofika home alilia sana huku akilalamika mambo nayomfanyia akasema kwasasa anahitaj sana kuwa karib na mim na mwanae ananihitaj sana kuwa karib yangu, anavyoumia yeye na mwane hivyohvyo so nisijarib tena kufanya hvo na mwanae atampa jina langu. Ilibidi niendelee mbembeleza nakumwomba msamaha ili atulie. Kama kawaida yake tukaanza romance tukakwich sana, akanmbia atakaa na mm 2days ilibid niwe mpole nitafanyaje coz alisema nikithubutu kufanya llote atafanya maamuz magumu . Hizo siku2 tulisex sana mpaka nikawa na waswas na huyu mwanamke kama karogwa. Wakuu nikaanza kupatwa na wasi wasi kila nikiwaza sipati jibu ilibid nimwulize whats goin on?? Akasema nothing niwe na aman, nikamwuliza baba wa mtoto yupo wapi? Akasema yupo hana shida niwe mpole. Nilitaman sana kuona picha zake akanionesha zote, ni jamaa flan hv nilimkadiria kama 30-33yrs, lakin alikuwa akiongea na jamaa ake vizur tu haonesh sign yoyote ile. Ilibid nimdanganye kuwa me nitasafir kikaz kwenda tabora sijui nitakaa kwa muda gan coz tunaproject yakufanya kule nilifikir hii ingekua best way coz watu walishaur hvo.

09/2019
Baada ya kuachana nakumdanganya naenda tabora alikuwa akinisumbua sana nakutaka kuja tabora kwa ajili yangu. Nilimwambia nitarud December akanmbia kwenye harus yake lazma niwepo. Last week nikiwa officin nilipigiwa cm kutoka reception kuwa na mgen wang ananiulizia ile kwenda namwona yeye, akanambia hapa ndo Tabora? Nikamwambia nmerud juz mara1 kuna data nilifata, akanambia nmeongea na wafanyakz wwnzako wamekataaa hakuna project yyte so you lying to me. Kuepusha shari ikabd nimwambie tutoke nje tuongee vzr, alikuwa kashika key ya gar tukaelekea upande alikopak ndinga, aisee Gari kali sana dada anamilik kanunuliwa kama zawad nilimwuliza yako? Akanipa na card kabisa gari ni yake kitu kipya. Nikamwambia mama huyu jamaa anakupenda why unataka kuniwka kwa matatizo?. Alinijibu niachane na hayo

Ilikua sa7 mchana akanmbia ananiwetia mpaka muda wa kutoka tusepe. Ilibd niende nidanganye oficin ili nisepe kuwa nmepata matatizo nimefatwa. Baada ya hapo tukaenda hotel 1 kubwa sana hapa dar tukachil pale, akanambia amechukua booking ya week nzima tuspend, wakuu ilibd nijilipue tu sina way ntafanyaje? Waswahili wanasema mtoto akililia wembe mpe coz nilikuw nmeomba ushaur kwa watu wengi walikuwa hawanipi majib wwngine wanasema mimba aliyonayo na kismart nae,

Tulispend pale hotelin alikuwa kalipia kila kitu, demu anapesa sana coz hata yy anabusn zake zinampa pesa,ilikuwa ni bata kwenda mbele zurura sana bata zote hapa mjin sasa akawa kama mke wangu me daah, muda wote dada alikuwa anataka sex mahaba hadharan hata haogopi ikafika stage akawa anasema anapenda mwanae afanane na me. Dada akaanza kufall in love with me taratibu anajaaa. Usiku wakt amelala nilichukua sim zake coz nilikua nazijua passcode. Nilifungua simu yakwanza hii simu ndo huwa anatumia chat na me sikuona chats zzote mbaya nilikagua sana sikuona kitu. Simu ya2 ndo anatumia kuchat na jamaa nilifatilia chats zao niakona dada hana shida na jamaa ila wkt tupo hotelin X alikuwa hapokei cm jamaa alikuw analalamika why hapokei cm zake dada anamwambia anakuwa kalala mimba inamchosha basi.

J2 baada ya kutoka hotelin ilibd nikapajue kwake nikampeleka bhs akananiachia ndinga akasema mara nying haiendeshi so nisepe nayo pale kwake hapaamin. Nili kataaa niliona msala huu, akasema nifanye hvo niende nayo kwangu, nikiangalia thamani ya lile gari naogopa, Ikabid nimwulize jamaa ake vipi kama atauliza akasema nisiwe nawasiwas coz gar ni yake anamamlaka nayo ila hatak iona pale.

Nimeomba ushaur kwa watu wengi sana tofauti weng wamenishaur niwe nae karib nisijarib anything stupid naweza wapoteza wote. Wakuu ndo hvo hali halis niliyonayo kama pesa nampiga sana nimechukua pesa za kutosha kutoka kwake till now. Huwa ananishikuru sana kwa kumjali na kuwa nae karib kwa kipindi hiki ila ameanza nishangaza kusema yupo tyr hata nimwoe, namsisitiza sana atulie na jamaa coz me nitamchazea tu. Sipend hili suala coz anytime akitaka sex lazma aje kwangu ameanza niweka matatizoni na mpenz wangu tumegombana kwaajil ake.

Wakuu kwa sasa nipo na stress sana coz nafeel karma ila ntafanyaje? Dada anakujua kwangu hata nifanyaje lazma aje, ndomana nilianza tafuta sehem ingine ya kupanga lakn sijafanikiwa kutokana napata mazingira mabaya na challengez tofauti. Kama kuna mtu wa kunipa technique nzuri nifanye nn kwa jambo hili atakuw kanisaidia sana. Dada soon anaolewa mke wa mtu mtarajiwa inauma sana, Kiukweli mimi sina kosa hapo coz nmefanya kila way ku escape nimefeli kabisa.Japo wengi mtakuja na mapovu ila hata ungekuwa wewe sidhan kama ungeshinda hili.

Inawezekana hii mimba ndo shida na kismati nayo, coz dada yuko kwenye mahusiano na jamaa kama 2yrs na anasema hajawai mchepuka kutokana na maelezo ake.
M
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu...
Screenshot_2019-09-19-20-40-59.jpeg
Screenshot_2019-09-19-20-40-26.jpeg
Screenshot_2019-09-19-20-40-13.jpeg
Screenshot_2019-09-19-20-39-20.jpeg
Screenshot_2019-09-19-20-39-07.jpeg
 
Usiombe mwanamke akugande namna hii, kama huna moyo mgumu utadata.

It heppened to me once, binti alikuja kwangu toka Mwanza kwa minajili ya kuonana na kusepa. Alipofika kidogodogo akapafanya kuwa kwake.

Uzuri mimi sikuwa na mpenzi zaidi yake ila kitendo cha kuhamia kwangu passively kilinitia wasiwasi. Ikafika muda wa mimi kusepa pale nlipokuwa maana kilichonileta kilikuwa kimeisha.

Kimbembe kikaja kwenye kuachana. Binti akawa hataki kabisa nisepe. Akatafuta sehemu akalipia kila kitu tukaendelea na maisha. Hapa na hapa ikabidi baharia nitafute mahali pangu kimya kimya nikalipia na kuweka mipango mizuri ya kumtoroka.

Katika vitu nlivyojichanganya ni kuruhusu apajue kazini kwangu. Baada ya kugundua nimesepa pale kwake akatia maguu kazin kwangu. Tena kipindi hiko akawa anadai ana mimba yangu. Ilikuwa kasheshe.

Mengi yalitokea hapo kati lkn mwisho wa safari tuliachana. Kinachonisikitisha kwa sasa katangulia mbele za haki.

Mpende sana huyo dada na tumia akili na busara sana kum-handle. Naamini akishazaa akili zitamkaa vizuri.

RIP Kanze

Unforgetable

Rest easy Kanze

Cc Kingsmann
 
Habar zenu wanajukwaa
Kwasasa member wenu nipo kwenye kipindi kigumu sana nimenasa kwenye trap na siwez kutoka, huyu mke wa mtu mtarajiwa ananipa mawazo mengi kichwani nimejarib kila way but I failed nimekuja kwenu maybe mnaweza nipa msaada wa kuweza kushinda hili Janga.

Kabla sijaenda kwenye mada husika, ngoja niwape intro kidogo mwaka 2014 mwshon nilianza mahusino na dada mmoja hivi ambae tulifahamiana kupitia joint exams. Of course huyu dada tulielewana sana waswahili wanasema kushibana. 2015 nilimaliza 6 na yeye pia, kutokana na masuala ya JKT nilikwenda huko basi hapo mawasiliano ndo yalikata. Nikiwa JKT nilikuwa nikimtafuta sana but alikuwa hapatikani mpaka nmeanza chuo alikuwa hapatikan na hakuwai kunitafuta bhs me nilimpotezea

07/2017
Nikiwa kwenye mishe zangu hapa mjin likizo nilikuwa natoka field nilikutana na rafiki ake wa advance basi tukasalimiana vizur tukabadilishana na namba za cm, hapa nikafanikiwa kupata namba yake. Nikamcheki tukastory sana bt alinambia yeye yuko chuo mwanza, tukawa tunachat tunatafutana sana but hatukuwai kuongelea abt mapenzi zilikuwa stry za kawaida tu. Kadri muda ulivozid kwenda tukawa hatuwasilian sana mpaka tukaacha kutafutana

08/2018
Nikiwa zangu home nmetulia, nimemaliza chuo tayar alinitafuta kwa namba mpya akanambia kuwa ni yeye bhas hapa tukaanza kuchat sana akanambia jins alivonimiss kitambo hatujaonana na hatukuwai kukosana anapenda sana siku anione. Tulikuwa tunapigiana sana vd call ofcourse nilikuwa namwona the way alivochange wakt naachana nae alikuwa wa kawaida ila niliona kawa anashape nzuri,kanawiri mtoto katakata sio poa, akanambia kwa sasa yupo anapiga mshe zake. Hatukuwa intouched san japo tulikuwa tukichekiana tunachat kwelkweli

02/2019
Ni siku ambayo alikuja Dar, akanitafuta tulipiga sana story sikuhiyo tulikwenda pale lifepark mwenge tukachili akaniaga kuwa kesho ataondoka dar

06/2019
Hapa ndo story inaanza rasmi, mwezi 6 alihamia dar akanipigia sim kwamba kwa sasa atakuwa dar amehamia. Alikuwa anaomba sana tumeet nilikua busy sana na masuala ya kioffice hvyo ilikuwa ngum na nilikua sina ham au mzuka nae,sikuwai hta chembe kufikiria kuwa nae. Baada ya kuendelea mzungusha ndipo alipoanza kulalamika nakunambia nachomfanyia sio kizuri akaendelea kulalama kuwa nikosa lipi ambalo amelifanya mpaka namfanyia hvo? nikampromise nitamtafuta bila kumtafuta.

07/2019
Ilikua ijumaa wiki ya kwanza kabisa ya mwez7 alinipigia cm na kunambia yuko makumbusho anahitaji kuonana na me, coz nilikua job wkt wa kurud nikapitia makumbusho tukameet pale but alinambia anataka tutoke twende sehem yyte iliyotulia. Nikamwambia inabdi nirud kwangu kubadilika then ndo tutoke hapa ndo ujinga niliofanya kuja nae kwangu. Baada ya kufika kuingia seblen akaanza kulalamika why nilikuwa namchunia? Na hana kosa? Au kunimiss kwangu ni shida? nilimsogelea na kumshika mkono nikamwambia yaishe mama. Baada ya kumshika mikono alizungusha mikono yake kiunoni kwangu na kunivuta ili anipe denda nilikwepesha, kitendo kile kilifanya aanze kuongea maneno na kukumbushia yale ya nyuma yan daah mzee baba nikalainika nililijikuta naacha afanye anachotaka. Tulikwichi kidogo coz ya muda na tulikuwa tunataka toka. Tulikwenda ledger plaza kunduchi wakt tupo pale tulipiga picha nyingi sana na zingine tukiwa swimming pamoja. Mwenzangu kumbe alikuwa anapost zile picha whatsapp.

Tulikaa pale mpaka mida ya sa6 usiku nikammwambia mama time ya kuondoka utachelewa home, akanambia anaspend na mimi usiku wote ilibidi twende hotelin paleple kunduch. Kama kawaida tulikwichi tena akalala ofcoz me sikuwa na usingizi bhs tu nilikua nawaza juu yake, ghafla yule rafik ake wa advance alinichek baada ya kuona status alizopost tukiwa swimming tena tumeshikana kimahaba. Alinidm tukaanza chat akaniuliza kama nmerudiana na X nikamwambia hapana hakuna chochote, si kunitumia zile picha wakuu nikabak nashangaa coz me nilikua sijui kama kapost. Akanambia champagne becareful X anamtu wake na soon ataolewa kalipiwa kila kitu kwan hajakwambia?? Nikamwambia kanambia ili kuzuia maswali mengine, akambia ndo hvo mali ya mtu hio tayr najua Ex haachwi.

Yeye X Alikuwa kalalamuda kama sa8 hivi ilikuwa, nilianza yaamin yale maneno ya best ake coz pemben Dada alikuwa na iphone X mbili nikachukua mkoba wake nichek nikagundua alikuwa na pesa kibao tu, nikagundua sio yeye kuna mtu ananunua coz hata me nilimshtukia na roho ilikuwa ikakataa kabisa. Wakuu nilipatwa na wasiwas sana hali ya woga ikaniingia nikawa najiuliza why? Huyu dada ananitakia nini me?, alishtuka akaniambia why sijalala? Nikamwambia sina usingiz coz nilikua kwa coach, akaamka akaja nilipo akakaa kwenye mapaja yangu akataka tuanze sex tena, muda ule sikuwa na stim hasa na kuambiwa zile taarifa sikuwa na hamu nae.

Nikamwambia X naomba nikuulize kitu lakin naomba uwe honesty kwangu tena baada ya kuwa mkali akasema sawa, nikamuuliza aniambie life stry yake since tumeachana ile 2015 alinambia everything. Nikamuuliza upo kwenye mahusiano akasema ndio na soon ataolewa na mpaka sasa ana mimba ya 1month. Nilishtuka sana nikamwambia why unafanya hvi soon unaolewa na unasex na me na unamimba?? Na kwann hukunambia??, alinijibu kuwa kwa sasa anahitaji kuwa karib sana na me anafeel kuwa karib yangu hivyo hahitaj kutoa maelezo zaid ya hapo. Hakuna kitu nachoogopa kama mke wa mtu bhs akanisogelea karib yangu akaanza kunipa romance, nikamwambia leo ndo mwsho tukitoka hapa tusijuane kabisa akasema sawa. Kutokana na joto alilokuwa nalo na zle romance zake mnara wa babeli ukasimama tulisex mpaka sa1 asbh dada alikuwa na nyege sana mpaka nikawa nahis karogwa.

Baada ya kuachana pale hotelin nilivorud kwangu nilikuwa na stress sana na nilijutia kwa kitendo nilichofanya japo sikuwa nafaham. Nilikuwa nawaza huyo jmaa ake atakuw si mtu wa mchezo demu kuwa na iphone X mbili na kwenye pochi kulikuw na si chin ya 2m ni mwanamke high class na kutokana na maelezo ya best ake alinambia huyo jamaa anampenda sana X.
Alikuwa ananitafuta sana but nilikua sipokei calls zake wala sijib txts niliamua kumblock tu kuepusha usumbufu, alikuwa ananitafuta hta kwa no ngeni nikijua yeye nakata nikawa hata namba mpya sipokei najua ni yeye.

08/2019
Zilipita 2 weeks bila mawasiliano nae, nilishtuka sana kumkuta kwangu jion wkt nikirud mishe amekaa akinisubiri mkonon alikuwa na package kubwa ambayo ndan kulikuwa na jeans3, Tshits3, shirt2, Raba, saa, chen, boxers & vests. Nilimind sana why kaja? Na tulikubaliana hatokuja tena kwangu nikamwambia asepe sitak kumwona kwangu aondoke, akasema amenimiss sana ndomana kaja kuniona na why nimemblock?? Kwan amefanya kosa gani? Kwakuwa amenimiss ndo namfanyia hvo? Alianza kulia akanmbia yeye anasepa ila kama nataka nimpoteze mwanae na yeye kwaajili yangu hili hatonisamehe akasepa kwa hasira.

Akili yangu haikuwa sawa nilikua mtu ambae sielew nn nifanye, nikakawaza yule anaenda kunywa sumu coz wkt nipo nae 2015 alishawai kunywa sumu na alikataa kunywa maziwa mpaka mama yake aliamua kunipigia cm ili niongee nae anywe maziwa ndo kufanikiwa so ni mwanamke ambae anahasira mbaya sana na pia ana maamuzi magum sana. Ilibd nitoke speed nimfate nikimpgia cm alikuwa hapokei kabisa nikafanikiwa kumpata alikuw anataka chukua boda, nikamwita bhs ndo akaanza kulalamika pale huku analiaa ofcoz na lile eneo lilikua linawatu weng, maduka yan daah mpaka sooh! Ikabd nimvute karib nimwombe msamaha ili tuondoke, mzee mmoja alinifata akanambia msikilize uyo dada anakupenda sio vizuri mwanamke alie hvo, ile scene tuliyocheza pale niliona aibu sana.

Tulivofika home alilia sana huku akilalamika mambo nayomfanyia akasema kwasasa anahitaj sana kuwa karib na mim na mwanae ananihitaj sana kuwa karib yangu, anavyoumia yeye na mwane hivyohvyo so nisijarib tena kufanya hvo na mwanae atampa jina langu. Ilibidi niendelee mbembeleza nakumwomba msamaha ili atulie. Kama kawaida yake tukaanza romance tukakwich sana, akanmbia atakaa na mm 2days ilibid niwe mpole nitafanyaje coz alisema nikithubutu kufanya llote atafanya maamuz magumu . Hizo siku2 tulisex sana mpaka nikawa na waswas na huyu mwanamke kama karogwa. Wakuu nikaanza kupatwa na wasi wasi kila nikiwaza sipati jibu ilibid nimwulize whats goin on?? Akasema nothing niwe na aman, nikamwuliza baba wa mtoto yupo wapi? Akasema yupo hana shida niwe mpole. Nilitaman sana kuona picha zake akanionesha zote, ni jamaa flan hv nilimkadiria kama 30-33yrs, lakin alikuwa akiongea na jamaa ake vizur tu haonesh sign yoyote ile. Ilibid nimdanganye kuwa me nitasafir kikaz kwenda tabora sijui nitakaa kwa muda gan coz tunaproject yakufanya kule nilifikir hii ingekua best way coz watu walishaur hvo.

09/2019
Baada ya kuachana nakumdanganya naenda tabora alikuwa akinisumbua sana nakutaka kuja tabora kwa ajili yangu. Nilimwambia nitarud December akanmbia kwenye harus yake lazma niwepo. Last week nikiwa officin nilipigiwa cm kutoka reception kuwa na mgen wang ananiulizia ile kwenda namwona yeye, akanambia hapa ndo Tabora? Nikamwambia nmerud juz mara1 kuna data nilifata, akanambia nmeongea na wafanyakz wwnzako wamekataaa hakuna project yyte so you lying to me. Kuepusha shari ikabd nimwambie tutoke nje tuongee vzr, alikuwa kashika key ya gar tukaelekea upande alikopak ndinga, aisee Gari kali sana dada anamilik kanunuliwa kama zawad nilimwuliza yako? Akanipa na card kabisa gari ni yake kitu kipya. Nikamwambia mama huyu jamaa anakupenda why unataka kuniwka kwa matatizo?. Alinijibu niachane na hayo

Ilikua sa7 mchana akanmbia ananiwetia mpaka muda wa kutoka tusepe. Ilibd niende nidanganye oficin ili nisepe kuwa nmepata matatizo nimefatwa. Baada ya hapo tukaenda hotel 1 kubwa sana hapa dar tukachil pale, akanambia amechukua booking ya week nzima tuspend, wakuu ilibd nijilipue tu sina way ntafanyaje? Waswahili wanasema mtoto akililia wembe mpe coz nilikuw nmeomba ushaur kwa watu wengi walikuwa hawanipi majib wwngine wanasema mimba aliyonayo na kismart nae,

Tulispend pale hotelin alikuwa kalipia kila kitu, demu anapesa sana coz hata yy anabusn zake zinampa pesa,ilikuwa ni bata kwenda mbele zurura sana bata zote hapa mjin sasa akawa kama mke wangu me daah, muda wote dada alikuwa anataka sex mahaba hadharan hata haogopi ikafika stage akawa anasema anapenda mwanae afanane na me. Dada akaanza kufall in love with me taratibu anajaaa. Usiku wakt amelala nilichukua sim zake coz nilikua nazijua passcode. Nilifungua simu yakwanza hii simu ndo huwa anatumia chat na me sikuona chats zzote mbaya nilikagua sana sikuona kitu. Simu ya2 ndo anatumia kuchat na jamaa nilifatilia chats zao niakona dada hana shida na jamaa ila wkt tupo hotelin X alikuwa hapokei cm jamaa alikuw analalamika why hapokei cm zake dada anamwambia anakuwa kalala mimba inamchosha basi.

J2 baada ya kutoka hotelin ilibd nikapajue kwake nikampeleka bhs akananiachia ndinga akasema mara nying haiendeshi so nisepe nayo pale kwake hapaamin. Nili kataaa niliona msala huu, akasema nifanye hvo niende nayo kwangu, nikiangalia thamani ya lile gari naogopa, Ikabid nimwulize jamaa ake vipi kama atauliza akasema nisiwe nawasiwas coz gar ni yake anamamlaka nayo ila hatak iona pale.

Nimeomba ushaur kwa watu wengi sana tofauti weng wamenishaur niwe nae karib nisijarib anything stupid naweza wapoteza wote. Wakuu ndo hvo hali halis niliyonayo kama pesa nampiga sana nimechukua pesa za kutosha kutoka kwake till now. Huwa ananishikuru sana kwa kumjali na kuwa nae karib kwa kipindi hiki ila ameanza nishangaza kusema yupo tyr hata nimwoe, namsisitiza sana atulie na jamaa coz me nitamchazea tu. Sipend hili suala coz anytime akitaka sex lazma aje kwangu ameanza niweka matatizoni na mpenz wangu tumegombana kwaajil ake.

Wakuu kwa sasa nipo na stress sana coz nafeel karma ila ntafanyaje? Dada anakujua kwangu hata nifanyaje lazma aje, ndomana nilianza tafuta sehem ingine ya kupanga lakn sijafanikiwa kutokana napata mazingira mabaya na challengez tofauti. Kama kuna mtu wa kunipa technique nzuri nifanye nn kwa jambo hili atakuw kanisaidia sana. Dada soon anaolewa mke wa mtu mtarajiwa inauma sana, Kiukweli mimi sina kosa hapo coz nmefanya kila way ku escape nimefeli kabisa.Japo wengi mtakuja na mapovu ila hata ungekuwa wewe sidhan kama ungeshinda hili.

Inawezekana hii mimba ndo shida na kismati nayo, coz dada yuko kwenye mahusiano na jamaa kama 2yrs na anasema hajawai mchepuka kutokana na maelezo ake.
M
Kosa unalo

Acha hiyo tabia ukiendelea nakuhakikishia hata ww ukioa ndoa yako itasuasua
 
Nanusa harufu ya rafiki yake kumwambia mume mtarajiwa.. kuwa makini. Wanawake wakileta umbeya wa shosti.. ni wivu kwa kwenda mbele.. na labda anatamani wewe angekupata ikiwa rafiki yake ana mchumba na yupo vizuri pia..
 
Haya Mambo yapo aisee, wote kwa pamoja wanawake na wanaume huwa haturidhiki, mimi sijaoa ila nina demu wangu mkali sana yani nampenda na yeye ananipenda sana.

Sasa kwenye grop moja la wassap nimempata bibie mmoja kutoka Zenji utani utani bibie kazama bila kutongozana stori sana tunachati bila kikomo yeye kaolewa na anamtoto mmoja.

Ghafra nimejikuta nazama kwa mahaba kwa huyo binti yeye anasema isingekuwa bahari angenipa mzigo mapema sana, analalama mumewe yupo bize sana na hata akiongea nae kwenye simu hainjoi kama anavyoongea na mimi na hata akirudi anakuwa kachoka sana.

Ni mke wa mtu lakini chati sasa daah mumewe akija ona ni aibu aisee wanawake wakipenda anakutumia chochote kilichopo mwilini mwake kama yule dada wa biliani, sasa bibie kaanza kunimiliki hataki nimtende wala nimsaliti hakumbuki kama yeye kashaolewa.

Sijamla ila ninampango wa kumla iven if yeye ni mke wa mtu kozi ni bonge la toto tena bado bichi kabisa heshima lazima iwepo, so mtoa Mada kula kwa uangalifu kumbuka mke wa mtu sumu ohoooo usije sema hatujakwambia hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom