Putin17
JF-Expert Member
- Mar 17, 2025
- 339
- 585
Nitakuelezea tukiwa wawili Putin tusiwape watu wengine faida
Wap sas la mamaNitakuelezea tukiwa wawili Putin tusiwape watu wengine faida
Nitakuelezea tukiwa wawili Putin tusiwape watu wengine faida
Wap sas la mamaNitakuelezea tukiwa wawili Putin tusiwape watu wengine faida
We tulia utapeliweRubbish. Vipi umeona wivu Lamomy kupendwa?
Et kakuganda we ukiangalia kale katoto kanaweza kukuganda ww acha kuvimbaOyaaa chalii kama unamtaka mchukue mana naona kaniganda kama kupe..naona unamshadadia sana atakufaa
Kwa hiki ulicho andika kaa ushirikishe ubongo wako alafu jitafakariUnachojadili ni nini haswa zaidi ya ushambenga na wivu wako tu hapa...YANI unajadili mwanaume kumpenda mwanamke una akili timamu
Mhm hata wewe umebadilika sikujuaga kama huwa una comment 😁Bwanah umebadilika sana![]()
Kwa hiki ulicho andika kaa ushirikishe ubongo wako alafu jitafakari
Alaf anasema et wew umemganda sijui amelewaKwa hiki ulicho andika kaa ushirikishe ubongo wako alafu jitafakari
Acha kujiresi kaka mkubwaOya nikatae basi aisee mbona unaniganda aisee vipi aisee unaniwekea gundu tu kwa Lamomy. Nikatae aisee ..
Asante naweza lifanya mwenyewe mpendwakuonesha upendo tu
Punguza hasira nikugande kwa lipi kwa hiyo mihemko yako kamweOya nikatae basi aisee mbona unaniganda aisee vipi aisee unaniwekea gundu tu kwa Lamomy. Nikatae aisee ..
Anywe maji kwanzaPunguza hasira nikugande kwa lipi kwa hiyo mihemko yako kamwe
Shusha pumzi ku maintain hasira
🤣🤣🤣Punguza hasira nikugande kwa lipi kwa hiyo mihemko yako kamwe
Shusha pumzi ku maintain hasira
We ndo unaleta gundu kwa mtoto mzuri unae mawenge mzeeDaaah ..aiseee KUPE ana afadhali ...achana na Mimi basi sikutaki mbona unaniletea gundu tu kwa Lamomy?
Sawa,samahani kwa makwazo.Asante naweza lifanya mwenyewe mpendwa
Nimchujue mtot mara ngapi sas uyo lamomy mbn hayupo sas umekaa kinyonge unatia hurumaOyaaa we dogo muambie huyo sjui binti aniache basi mchukue mtu wako mtambae Mimi si date watoto wadogo arifu..
Kweli mkuu,hadi zinatoa Akili!Nyege mbaya sana zisikie kwa mwenzio tu