Nimemzimia Lamomy

Nimemzimia Lamomy

Hakika, uzee ni dawa! Ila nyie bado kidogo...mna muda kidogo wa kutengeneza mahusiano mapya. Wengine tumeshachoka sasa.
Woiiii huo mda sasa wa kutengeneneza mahusiano mapya sasa mwili umeshakufa ganzi miaka 50 niliyonayo acha niwe mtazamaji zaidi kuangalia ya wajukuu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
K
Kwa lipi mpendwa
wew umeleta mada acha ichambuliwe hakuna wivu
mbona unakosa kujiamini
Unachojadili ni nini haswa zaidi ya ushambenga na wivu wako tu hapa...YANI unajadili mwanaume kumpenda mwanamke una akili timamu
 
Woiiii huo mda sasa wa kutengeneneza mahusiano mapya sasa mwili umeshakufa ganzi miaka 50 niliyonayo acha niwe mtazamaji zaidi kuangalia ya wajukuu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti 50..🤣🤣🤣🤣🤣
Binti mbichi kabisa kwa sisi wazee, acha zako.
 
Unazikia picha ya ku download! Mkuu Lamomy joo uokote hukuu, hakikisha anakuja na nyuzi ya kuomba ushauri
 
Nina uboo kama huamini njoo pm tuonane nikuoneshe..
Kuhusu Lamomy najua Kabisa wa 100% ni shangazi la ukweli mzuri, ana hizi, mapaja manene na miguu minene, na Tako zuri lililojaa minyamanyama , akivaa na shades zake za kuzuia jua Yan simpatii picha namtamani na namuitaji sana
umemuona wapi?
 
Back
Top Bottom