Unajua. Binadamu tuna nguvu ya ajabu japo wengi hatujui kuitumia. Kwa tunaoweza kuitumia nguvu hii unaweza kabisa kuona tu avatar ya mtu ukasoma na maandiko yake na ukajenga wasifu wake. Kama uko objective na umezizima hisia zako basi mtu huyo atakuwa exactly kama vile unavyomfikiria na kumdhania.Lakin vyote hivyo hiviwezi kubeba uhalisia wa mtu mpaka kufikia hatua hiyo ya ku fall in mwishowe ni kukimbiana mkutanapo🤣🤣tamaa tu hakuna na mihemko ya chini hakuna kingine
Ewaaaaa ....Unajua. Binadamu tuna nguvu ya ajabu japo wengi hatujui kuitumia. Kwa tunaoweza kuitumia nguvu hii unaweza kabisa kuona tu avatar ya mtu ukasoma na maandiko yake na ukajenga wasifu wake. Kama uko objective na umezizima hisia zako basi mtu huyo atakuwa exactly kama vile unavyomfikiria na kumdhania.
Kuna mtu ilinichukua miaka minne mizima tu kuyasoma maandishi yake na kumfanyia comprehensive psychological analysis. Nilipokuja kukutana naye alikuwa exactly kama nilivyokuwa nikimdhania...and has become one of my best friends ever and my life saver.
You attract what you want. Ukiongozwa na mihemko ya ngono utapata mwanangono mwenzio. Ukitaka rafiki wa kweli utapata rafiki wa kweli. Kila kitu kinakuwa manifested (kinadhirishika) kama misingi sahihi itafuatwa.
Unajuaje ni mwanamke na humjui kuwa makini, mimi kuna member ammoja alikuja PM badae nikagundua ni GashoMapenzi upofu
Sisikii Wala sioni kwa Lamomy
,nawaza hili litakua jishangazi la mwendo Kasi, Lina mipaja na miguu minene, atakua na nyonyoh kubwa kubwa zilizojaajaa
Kila nikimfikiria simpatii picha, Yan amenivutia tu, Lamomy nakuitaji Mimi napenda mashangazi sana na masingo mama sana..embu fanya hima tuwasiliane tupozane na kupeana mapenzi, sawa mchumba ?
Hata sijaenda mbali kumbe Niko mule mule sema sababu ya wivu umekataa kukubali sifa zake zingine za uzuri hips, mapaja, miguu minene ..hapo lips nene amenimaliza tayari LamomyNamna ulivyomdescribe sivyo alivyo, ila ni mwanamke mweupe, wa makamu, mweupe, lips nene kidogo ni mzuri na hata sauti yake ni ya kisista du. Mwambie aseme suu niposti hapa picha yake.
Kumbe kweli Lamomy ni mshangazi mwenye titi lake na tako lake
Sawa nakubaliana na wew mpendwa na hayo hutokea kwa bahati sanaUnajua. Binadamu tuna nguvu ya ajabu japo wengi hatujui kuitumia. Kwa tunaoweza kuitumia nguvu hii unaweza kabisa kuona tu avatar ya mtu ukasoma na maandiko yake na ukajenga wasifu wake. Kama uko objective na umezizima hisia zako basi mtu huyo atakuwa exactly kama vile unavyomfikiria na kumdhania.
Kuna mtu ilinichukua miaka minne mizima tu kuyasoma maandishi yake na kumfanyia comprehensive psychological analysis. Nilipokuja kukutana naye alikuwa exactly kama nilivyokuwa nikimdhania...and has become one of my best friends ever and my life saver.
You attract what you want. Ukiongozwa na mihemko ya ngono utapata mwanangono mwenzio. Ukitaka rafiki wa kweli utapata rafiki wa kweli. Kila kitu kinakuwa manifested (kinadhihirishika) kama misingi sahihi itafuatwa.
Dada umeniganda kama kupe ...Sawa nakubaliana na wew mpendwa na hayo hutokea kwa bahati sana
Kwa wachache wenye kuweza kumaster hayo
Lakini kwa huyu mtoa mada uonavyo anaongozwa na mihemko ya namna gani??
Unafikiri anaweza kupata kipi kati ya hivyo ulivyozungumzia hapo????
Hahaha, unapendana na avatar na mwandiko hadi mnaachana hamjaonana, hayo ni matumizi mabaya ya mda cheupe🤣Enzi zetu hizo tulishakutana nazo sana kupenda miandiko na avatarhalafu tunakuja kuachana ata kuonana hatujawahi onana
Ndio na mimi ninashangaa kwani nilikuaje na mwanzo nilikuaje? Kwa sababu kama nikuwa kwenye mstari now nipo timamu zaidi ya kipindi cha nyuma nilipokua naingia humu nikiwa na vitu kichwani 🤣Kumbe sipo peke yangu
Hahaha, unapendana na avatar na mwandiko hadi mnaachana hamjaonana, hayo ni matumizi mabaya ya mda cheupe![]()

Sasa utafanyaje kila mkitaka kuonana vinashindikana mwisho wa siku mnaachana na hamjaonana ila jf idumu tu
Bwanah umebadilika sanaNdio na mimi ninashangaa kwani nilikuaje na mwanzo nilikuaje? Kwa sababu kama nikuwa kwenye mstari now nipo timamu zaidi ya kipindi cha nyuma nilipokua naingia humu nikiwa na vitu kichwani![]()


Vibaya mnoAnakurupuka uyu
Aisee!!👿
Idumu sana, kuna nyembe humu we acha tu, ngoja nifunge bakuli langu🤣Sasa utafanyaje kila mkitaka kuonana vinashindikana mwisho wa siku mnaachana na hamjaonana ila jf idumu tu