Nimemzimia huyu mtoto aliyeanzisha huu uzi

habari yako binafsi bana ulipotelea wapi?
au ndo mambo ya id nyingine

Huyo ndo alivo... na akirusha uzi lazima uwe wamhusu member....
Mara ya mwisho it was Preta sijui kafanya nini...Mie hua anifurahisha saana....
toka 2007 ni senior member... na post 170.... Ina maana it is about Love ikija kwa BB.
 
kuna watu wantakuw wananiibia post humu ndani
ukipenda niite double bii. tchao!
 
hahahah.... Dabo bii; What do you mean unaiibiwa post humu ndani....

i mean sometime iam too bussy kujenga taifa letu japo halijengeki kama tunavyotaka .thats why nakosaga muda wa kuja kujivinjari hapa JF..ukiniona ujue nipo safarini /kwenye usafiri naenda mahala .thats when i can get time to come here ..to run company is not lelemama..may be you can guess what i mean
 
I like that... as much as you are busy you can not help noticing the beautiful ladies and give the a compliment and throw in a pm...lol... Pole saaana na kujenga taifa, hopefully end result yaonekana....
 
Mdau ulimzimia huyo dada, alikupa msaada wa huduma ya kwanza? Japo ya kukutanisha mdomo wako wa wake ili akupulizie hewa ya kukuzindua?
 
Back
Top Bottom