Nimemzimia huyu mtoto aliyeanzisha huu uzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemzimia huyu mtoto aliyeanzisha huu uzi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by John W. Mlacha, Jan 5, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Mashalah mtoto si haba ..
  Kujaliwa kajaliwa..
  sema uzi wenyewe umefungwa kwa ridhaa yake..nime m pm mtoto kakausha ..dah..
  ukipenda niite double dii..mtoto lazima nimweke kwenye himaya yang ..ndo ndo ndo si churu ru ngoja nimwendee mdogo mdogo kama kinyonga kwani haraka haaka haina baraka..
  . ukipenda niite double bii. tchao!
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  whats this?

  mara dabo dii
  mara dabo bii!!
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  pole pole usimtishe na mbwembwe zako asije akakukimbia.
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  huwezi kuelewa kirahisi.. ukipenda niite double bii. tchao!
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ndio maana nataka niende mdogo mdogo ..mtoto kaweka picha yake live dah..simwachi huyuuuu..
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh ngoja nimwambie aku PM niko nae hapa she is my somebody....jokes
   
 7. J

  John W. Mlacha Verified User

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wewe jamaa ni mtu mwema sana sijawahi pata ona..wengine huwa wanabaniaga wenzao ila wewe ubarikiwe sanaaaa.
  ukipenda niite double dii. tchao!
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  mtoto kapanda hewanii..mtoto hana mkorogo hata mmoja ..nipewe nini tena mieeee..
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  du..
  ukipenda niite double dii
  ukipenda niite double tii
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ni hi haraka haraka ..na mbwembwe za kumn'goa huyu kimwana ..nisharekebisha.
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  duoble line....
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hivi Black ushawahi onana nae hata mara moja???
   
 13. J

  John W. Mlacha Verified User

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ndio..sema ndio hivyo hakutoa mambo.sio kwamba nilishindwa ulikuwa sio muda muafaka.najua umesharusha ndoana kwa sana tu .au sio? hahah
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
 14. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo mpaka sasa unakula kwa macho huku udenda ukikuporomoka kama zezeta.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sikulaumu... Lakini kaa pembeni niko kumfanyia mpango kakangu....lol
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Vin how have you been.... masiku mengi bana!
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  waasichana watanielewa zaidi.
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
 18. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  habari yako binafsi bana ulipotelea wapi?
  au ndo mambo ya id nyingine
   
 19. J

  John W. Mlacha Verified User

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  kaka yako yupi huyo? patachimbika ujuee
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
 20. J

  John W. Mlacha Verified User

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  kaka nipo around.maisha yanaenda ..mafuriko yalitusomba kaka tunangojea viwanja vipya,wewe uko poa?
  ukipenda niite double bii. tchao!
   
Loading...