Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Ndo apo sasa,
Nadhani priority ya dada iwe kuzaa mana umri ushaenda sana hata akiachwa mtoto anaye,
Dada make ur decisions fast,
Most men tend to marry downwards
Ur at a disadvantage,
Yanii ningeweza ngekupa mimba hata mim sema wa kike,if i were u ingefika ata 30 tu ningekua single mother
Hivi wanawake mna akili kweli nyie mnaomwambia asithubutu kuzaa? Mtu yupo jioni kabisa miaka 44 mnamwambia asizae? Kweli akili za wanawake sifuri kabisa.
Usithubutu kuzaa, huu ushauri wa bure tu nakupa!
Kwani wangapi wamezaa na wameachwa?.
Km kweli yupo serious na ni mpango wa Mungu itakua tu dada yangu!!...
Huyo Dada ako nae ataingiliaje mapenzi ,hajui ni makubaliano ya watu 2!
.sorry,huyo Dada ako kaolewa?
Huyo kaka anasema kwao wataleta zengwe,kwahiyo ataenda kuwatangazia ndugu zake kuwa umemzidi?..
If so,hayupo tayari kukudefend huko kwao!?
Dada Yangu muombe Mungu,ukipata amani moyoni jua ndie ,na km ndie hakutakuwa na chochote kitakachozuia,means kila mmoja wenu atakua tayari kudefen penzi lenu!!
Nb:naona anataka kujua km unaweza kuzaa.
Mtazamo wangu tu!!!
https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/855141-ana-kibamia-lakini-kilinitoa-machozi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/848606-ameni-dump-kwa-mara-ya-pili.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mume-wangu-kumbe-ugenini-unayaweza-hivi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...uliza-mimi-na-mtoto-wake-tulikutana-wapi.html
hizo ni baadhi ya thread zako humu
bahati nzuti wengine humu huwa hatuchangii sana ila kumbu kumbu ya nani na lini alisema nini huwa tunayo...kwa kifupi acha kuharibu maisha ya kijana na pia acha kuchezea akili za wana mmu.....
Nina marafiki wengi tu waliooa wanawake waliowazidi umri na ndoa zao zimedumu. Msingi ni maelewano yaliyopo baina ya watu wawili na mapenzi ya kweli yanayowaunganisha.
Wengi wanaingia bila kupendana huku wakiwa hawajui kuwa kilichopo baina yao ni vitu kama fantasy, Infatuation na ndoto na pale reality inapokick in ndipo wanapoanza kulaumu tofauti ya umri iliyopo baina yao.
Nina rafiki ameoa dada aliemzidi miaka 10 na ni mzuri hasa, wanaishi kwa furaha sana pamoja na kuwa Dada hana uwezo wa kuzaa na jamaa ana watoto wa nje aliozaa kabla ya kukutana nae. Ukiwaona utatamani.
Aisee kumbe unaweza kuwa siriaz kutoa ushauri kumbe hamna kitu.aise nyie watoto acheni upuuzi wenu.muwe na adabu kwa watu wazima.asante mkuu kwa kuniwekea ukweli bayana.https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/855141-ana-kibamia-lakini-kilinitoa-machozi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/848606-ameni-dump-kwa-mara-ya-pili.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mume-wangu-kumbe-ugenini-unayaweza-hivi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...uliza-mimi-na-mtoto-wake-tulikutana-wapi.html
hizo ni baadhi ya thread zako humu
bahati nzuti wengine humu huwa hatuchangii sana ila kumbu kumbu ya nani na lini alisema nini huwa tunayo...kwa kifupi acha kuharibu maisha ya kijana na pia acha kuchezea akili za wana mmu.....
Ahsante mkuu ntaleta mrejesho baada ya kuzisoma
Isijekua tunapoteza muda na ushauri wetu bure
unaweza kumsoma hapo tena na umuulize lini aliachana na huyo kaka....
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ania-bwana-sasa-kaka-yake-anataka-kunioa.html
Yumkini ni 44 kweli enewei,unaweza kumsoma hapo tena na umuulize lini aliachana na huyo kaka....
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ania-bwana-sasa-kaka-yake-anataka-kunioa.html
Kweli natamani niwaone!
Hivi unajua ni kwa kiasi gani ndoa nyingi siko kisanii?
Nilidhani utasema kuwa wewe ni mmoja wao!
Kweli natamani niwaone!
Hivi unajua ni kwa kiasi gani ndoa nyingi siko kisanii?
Nilidhani utasema kuwa wewe ni mmoja wao!
dada mpaka sa8 usiku mnaongea tuu live bila chenga wala umeme kukatikakatika??
ushauri....wewe kama mnapendana bebaneni tu muoane tena kwa shangwe zote! wambie unamiaka28! kwani wakwe watadai cheti cha kuzaliwa???
At 44 muda unatoka wapi tena kaka? Hapa anatakiwa kupiga magoli ya dakika za majeruhi Kama finals ya Man U Vs Bayern M!