Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Kuna mahali eidha umefowadi au umeediti au umeyafanya yote mawili... hiyo itapelekea tushindwe kukupa ushauri miruaUmri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja.
Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na kiti cha kijana mmoja, mrefu, nadhifu, mcheshi. Tulifikia hoteli moja, baada ya siku tatu tulibadilishana number za simu maana tuliweza kuelekezana migahawa mizuri kwa chakula.
Semina iliisha Ijumaa na tuliagwa kwa tafrija baada ya hapo kila mtu aliekea alikotoka.
Mimi na kijana tuliendelea kuwasiliana kwenye whatsApp, imefikia katika hali kuwa, nikiamka asubuhi lazima tusalimiane, tunabadishana picha za lunch, usiku ndio kabisa tunachat masaa mawili-matatu. Ilitokea nikamuuliza hivi unahisi mimi nina miaka mingapi?
Akajibu 28, nilicheka, nikaamua kukaa kimya. Moyo wangu umempenda sana, sasa lakini niliamua kumueleza ukweli. Alishtuka na kukaa kimya, nikajua basi ameshaondoka.
Kesho yake alinipigia simu akaniuliza kama nilishawahi kuolewa, je nina mtoto. Akajibu umri kwake sio tatizo. Yeye ana miaka 31, anakazi nzuri sana.
Weekend iliyopita alikuja kunitembelea, alifika Jumamosi asubuhi, kwa sababu bado tunafahamiana alichukua hoteli mjini, alikuja kwangu jioni, tulikaa tukaongea mpaka saa nane usiku, akaondoka kurudi hotelini kwake, kesho yake alirudi kwake.
Dada yangu mkubwa ambae mtoto wake wa kwanza ana miaka 29 ameniambia nimuache kijana kwani ni sawa na mwanangu! Kijana mwenyewe amekiri kuwa kwao wazazi wataleta zengwe, amenishauri tuzae kwanza kabla hajanipeleka kwao.
Ushauri jamani
mkuu umri umeenda,hapo fanya tu upate mtoto hata mwaka huuMambo huwa yanabadilika, bwana mdogu alipata kazi ujerumani, na mimi nimeamua kujiendeleza ki-elimu.
weka picha zote tuone sura zenu bibi usije ukawa unatembea na make up ndo mana dogo janja kakuvizia had saa nane usiku aone makunyanzUmri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja.
Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na kiti cha kijana mmoja, mrefu, nadhifu, mcheshi. Tulifikia hoteli moja, baada ya siku tatu tulibadilishana number za simu maana tuliweza kuelekezana migahawa mizuri kwa chakula.
Semina iliisha Ijumaa na tuliagwa kwa tafrija baada ya hapo kila mtu aliekea alikotoka.
Mimi na kijana tuliendelea kuwasiliana kwenye whatsApp, imefikia katika hali kuwa, nikiamka asubuhi lazima tusalimiane, tunabadishana picha za lunch, usiku ndio kabisa tunachat masaa mawili-matatu. Ilitokea nikamuuliza hivi unahisi mimi nina miaka mingapi?
Akajibu 28, nilicheka, nikaamua kukaa kimya. Moyo wangu umempenda sana, sasa lakini niliamua kumueleza ukweli. Alishtuka na kukaa kimya, nikajua basi ameshaondoka.
Kesho yake alinipigia simu akaniuliza kama nilishawahi kuolewa, je nina mtoto. Akajibu umri kwake sio tatizo. Yeye ana miaka 31, anakazi nzuri sana.
Weekend iliyopita alikuja kunitembelea, alifika Jumamosi asubuhi, kwa sababu bado tunafahamiana alichukua hoteli mjini, alikuja kwangu jioni, tulikaa tukaongea mpaka saa nane usiku, akaondoka kurudi hotelini kwake, kesho yake alirudi kwake.
Dada yangu mkubwa ambae mtoto wake wa kwanza ana miaka 29 ameniambia nimuache kijana kwani ni sawa na mwanangu! Kijana mwenyewe amekiri kuwa kwao wazazi wataleta zengwe, amenishauri tuzae kwanza kabla hajanipeleka kwao.
Ushauri jamani
mbona unamshauri vibaya mwenzio? kama bado yapo abebe mimba fasta.Uckubali kuzaaa mama angu ohooo
Shikamoo R Mbuna!Age is just a number .. Ila kutakuwa na changamoto since utazeeka kabla yake so lazima atatafuta agemate wenzake tatizo na wewe umezidi kujiremba mpaka unaoneka msichana mbele ya wavulana. Bora uje kwangu mzee mwenzio tupige show za kizee.
kifupi bado hujaachwa na basi la maisha, kwani wapo watu wazima wenzako kwanini uangaike na watoto wako wa kuwazaa kabisa? ulikuwa wapi kuolewa ulipokuwa bado mbichi 20-30 yrs? au wewe ndio wale walipokuwa kwenye kuchanua wanaleta mapozi mingimingi ya kuchagua chagua sana watu wa kuwaoa wakati umri hausimami unasonga mbele.hili ni tatizo sana mpaka kesho na mabinti wa leo wanaendelea kuchagua sana mpaka wanakosea kupata mtu sahihi wakati wanapokua bado vigoli.mwishoe wanachezewa sana na umri unazidi kwenda.Umri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja.
Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na kiti cha kijana mmoja, mrefu, nadhifu, mcheshi. Tulifikia hoteli moja, baada ya siku tatu tulibadilishana number za simu maana tuliweza kuelekezana migahawa mizuri kwa chakula.
Semina iliisha Ijumaa na tuliagwa kwa tafrija baada ya hapo kila mtu aliekea alikotoka.
Mimi na kijana tuliendelea kuwasiliana kwenye whatsApp, imefikia katika hali kuwa, nikiamka asubuhi lazima tusalimiane, tunabadishana picha za lunch, usiku ndio kabisa tunachat masaa mawili-matatu. Ilitokea nikamuuliza hivi unahisi mimi nina miaka mingapi?
Akajibu 28, nilicheka, nikaamua kukaa kimya. Moyo wangu umempenda sana, sasa lakini niliamua kumueleza ukweli. Alishtuka na kukaa kimya, nikajua basi ameshaondoka.
Kesho yake alinipigia simu akaniuliza kama nilishawahi kuolewa, je nina mtoto. Akajibu umri kwake sio tatizo. Yeye ana miaka 31, anakazi nzuri sana.
Weekend iliyopita alikuja kunitembelea, alifika Jumamosi asubuhi, kwa sababu bado tunafahamiana alichukua hoteli mjini, alikuja kwangu jioni, tulikaa tukaongea mpaka saa nane usiku, akaondoka kurudi hotelini kwake, kesho yake alirudi kwake.
Dada yangu mkubwa ambae mtoto wake wa kwanza ana miaka 29 ameniambia nimuache kijana kwani ni sawa na mwanangu! Kijana mwenyewe amekiri kuwa kwao wazazi wataleta zengwe, amenishauri tuzae kwanza kabla hajanipeleka kwao.
Ushauri jamani
Hakikisha kama anajua maana ya tofauti ya umri uliopo.
Mara nyingi wanawake wanakuwa matured kuliko wanaume kama unadhani mmebalance humtreat kama bwana mdogo.
Kama unadhani unaweza kumsikiliza kama MUME na yeye sio anakupenda umlee kama mama yake na sio kuchukua rensponsibility ya MUME endleeni.
Lakini kwa uzoefu hawa vijana hupenda mteremko wewe umeshajiestablish hana shida ya kukusaidia kupata mwelekeo wa maisha hana shida ya kuhakikisha uko salama.
Lakini kuna wachache ambao wanaishi vizuri sana tu.
Inategemea unataka nini kutoka kwa mwenzi wako
Sky Eclat
Mnaweza kuoana kwasasa, ila kubali tu kesho kutwa utakapokua fifty yrs utaletewa dogo dogo ama kukimbiwa na kuambiwa kua wewe mzee na kusema alikosea kukuoa. Blive me kwa sasa kakutamani sana kwa umri uo simply bcoz hamjaishi pamoja kama husband and wife. Ukimpa amege tu na mkikaa kidogo ataanza iyo sababu ya umri,na tofauti ya umri wenu itakua silaha yake kukuadhibu.
Ushauri : Tafuta age mate wako aliyekwisha tumia ujana wake na kutulia, ambaye kwasasa hana mke, 42-50yrs uko labda ita work out,..........But imekuaje umechelewa hivi?jua limezama dada yangu dah. Anyway All the Best
Kabisa. Asimbemende mtoto wa watuMwache mtoto wa watu!
Ungekuwa bibi au babu kama mie ungenielewa. Ila ukiendekeza upofu jiandae kwa majuto.