Nimemwona Kapteni William Silaa

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Kupitia kipindi kinachoitwa Kazi kikirushwa EATV anaelezea namna ya helkopta inavyofanya kazi. Nimejiuliza maswali mawili;
1. Kipindi hiki kilirekidiwa lini?
2. Huyu mzee si walisema alifariki wakati ule wa kampeni pamoja na Deo Filikunjombe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom