alilala wapi? suprize ndo mpango mzima hata mimi nilienda kwa x wangu nikakuta watu bed na aliniambia amesafiri mimi nilikuwa nimefata tu vitu vyangu nilisahau huko. ZA muongo mwisho 40Embu waza wewe kosa ni kudanganya au kutokulala hostel au kutokukwambia alipolala... uongo kama huo ni wa kawaida sanaa... kama humpendi muache tuu., umejisaprize mwenyewe.. hahaha!!! toa taarifa unaenda banaa, izo saprize waachie wazungu..
huo wote unafiki tu dada! nachukia question mark kichwani kwangu kwa kweli!Namchukia mtu muongo, namchukia mtu asiye muaminifu. Kwa vile roho yako ishaingia kinyongo, basi ni vyema umuache; kipindi cha uchumba maana yake ni kuchunguzana tabia so mshukuru Mungu kwa kukuonesha tabia ya mchumbao.
alilala wapi? suprize ndo mpango mzima hata mimi nilienda kwa x wangu nikakuta watu bed na aliniambia amesafiri mimi nilikuwa nimefata tu vitu vyangu nilisahau huko. ZA muongo mwisho 40
kwanini ulitoa MALI badala ya kutoa MAHARI?Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo anamalizia degree yake. Last weekend niliamua kumtembelea huko hostel kwake bila kumjulisha, ilikuwa jumamosi nikiwa na lengo la kwenda kumchukua ili tutoke kidogo! Cha ajabu huyo binti sikumkuta, nilipo jaribu kumuuliza mwenzake anaeishi nae chumba kimoja kasema aliondoka tangu jana yake jioni (ijumaa) na hakurudi hadi mida ya saa 10 jioni ambayo mimi nilipofika pale! Nikaamua kumpigia simu, kwavile yeye alikuwa hajui kama mimi nipo pale hostel, akawa ananidanganya eti yupo hostel na tena ameboreka sana, analalamika eti nimemtosa hata simu kutwa nzima sijampigia na mambo mengi! Mimi niliamua kuondoka huku nikiwa nimekasirika sana bila kumwambia kama mimi nimefika pale hostel! Jumapili aliporudi hostel akaambiwa kuwa mimi nilifika na nilimpigia simu nikiwa pale, binti amechanganyikiwa, analia hovyo na anaomba msamaha, tena amemwambia hadi mama yake na dada yake, leo jioni dada yake anataka kuonana na mimi, wadau mnanishaurije? Nimpotezee huyu dada? Kwani mimi nimesha amua kumwacha kabisaa huyo binti, na mali niliyotoa kwao nipo tayari kusamehe!
Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo anamalizia degree yake. Last weekend niliamua kumtembelea huko hostel kwake bila kumjulisha, ilikuwa jumamosi nikiwa na lengo la kwenda kumchukua ili tutoke kidogo! Cha ajabu huyo binti sikumkuta, nilipo jaribu kumuuliza mwenzake anaeishi nae chumba kimoja kasema aliondoka tangu jana yake jioni (ijumaa) na hakurudi hadi mida ya saa 10 jioni ambayo mimi nilipofika pale! Nikaamua kumpigia simu, kwavile yeye alikuwa hajui kama mimi nipo pale hostel, akawa ananidanganya eti yupo hostel na tena ameboreka sana, analalamika eti nimemtosa hata simu kutwa nzima sijampigia na mambo mengi! Mimi niliamua kuondoka huku nikiwa nimekasirika sana bila kumwambia kama mimi nimefika pale hostel! Jumapili aliporudi hostel akaambiwa kuwa mimi nilifika na nilimpigia simu nikiwa pale, binti amechanganyikiwa, analia hovyo na anaomba msamaha, tena amemwambia hadi mama yake na dada yake, leo jioni dada yake anataka kuonana na mimi, wadau mnanishaurije? Nimpotezee huyu dada? Kwani mimi nimesha amua kumwacha kabisaa huyo binti, na mali niliyotoa kwao nipo tayari kusamehe!
Huyo sio mkewe soma tena topic. hata hivyo hawala hana talaka ukimtaka unampata. Angempotezea tuu lakini asingemtamkia kuwa 'baaasi' ili abaki kuwa spea tuu siku akikwama aende kujipoza kama vicheche wengine tuu. hakuna future hapoo.Kosa moja haliachi mke.Mkanye na umchunguze kama amebadilika.
kwanini ulitoa MALI badala ya kutoa MAHARI?
Huyo sio mkewe soma tena topic. hata hivyo hawala hana talaka ukimtaka unampata. Angempotezea tuu lakini asingemtamkia kuwa 'baaasi' ili abaki kuwa spea tuu siku akikwama aende kujipoza kama vicheche wengine tuu. hakuna future hapoo.
Sinai kakengeuka kama sio kukengeushwasitira yake nafuu,mwambie lilo na sahihi
ajue pate fahamu,ajue mali na sio mahari
jipe kazi ya mwalimu,mjuze apate akili
naamini kwako si gumu,mjibu na ajue hili.
huo wote unafiki tu dada! nachukia question mark kichwani kwangu kwa kweli!