Nimemwambia simtaki tena, lakini....................!

Nimemwambia simtaki tena, lakini....................!

Washa taa nyekundu kicwhani kwako kaka!mtu mwongo ni mbaya tena muuaji huo ni mwanzo tu wa kukudanganya.
 
Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo anamalizia degree yake. Last weekend niliamua kumtembelea huko hostel kwake bila kumjulisha, ilikuwa jumamosi nikiwa na lengo la kwenda kumchukua ili tutoke kidogo! Cha ajabu huyo binti sikumkuta, nilipo jaribu kumuuliza mwenzake anaeishi nae chumba kimoja kasema aliondoka tangu jana yake jioni (ijumaa) na hakurudi hadi mida ya saa 10 jioni ambayo mimi nilipofika pale! Nikaamua kumpigia simu, kwavile yeye alikuwa hajui kama mimi nipo pale hostel, akawa ananidanganya eti yupo hostel na tena ameboreka sana, analalamika eti nimemtosa hata simu kutwa nzima sijampigia na mambo mengi! Mimi niliamua kuondoka huku nikiwa nimekasirika sana bila kumwambia kama mimi nimefika pale hostel! Jumapili aliporudi hostel akaambiwa kuwa mimi nilifika na nilimpigia simu nikiwa pale, binti amechanganyikiwa, analia hovyo na anaomba msamaha, tena amemwambia hadi mama yake na dada yake, leo jioni dada yake anataka kuonana na mimi, wadau mnanishaurije? Nimpotezee huyu dada? Kwani mimi nimesha amua kumwacha kabisaa huyo binti, na mali niliyotoa kwao nipo tayari kusamehe!
mtoa mada ushauri uliopewa humu changanya na zakwako!!!!!!
 
piga chini bwana.kwanini mtu asitulize k yake.
kwanini ulishwe haramu? kwanini mtu asikitulize,piga chini tena kapime afya yako ujue moja..
Ndiyo maana nakupenda sana kwa maamuzi yaliyo wazi!
 
Ukiona mwanamke au mwanaume amekubali kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa basi huyo ni mzinifu, na hawezi kuwa mwaminifu kamwe, kama unabisha anza uchunguzi kwa watu wote waliozini kabla ya kuoa au kuoana utaona sio waaminifu. Labda mtu aamue kumrudia mungu kiukweli hapo anaweza badilika lakini hakuna mabadiliko kama mtu hana dini ya kweli, ukioa au kuolewa na mtu asiye na dini ya kivitendo hakuna uaminifu hapo. Sasa sijui wewe sinai unaleta hoja gani hapa kama mliweza kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa basi jua uaminifu hakuna hapo. Oa tu kama fashion lakini sio kumiliki peke yako
aisee napata shaka sana na jinsi mnvyotafakari mambo nkuweka hitimisho.kuna wengi tumewashuhudia wameoana wakiwa mabikra lakini walipoonja tu k na mbo wakawa vicheche nakutamani kuanza kuonja na wakawa balaa bin balaa je hawa unawakonclude vipi,naamni ni bora muonjaji onjaji atajua ladha ni ile ile hata akiona atabaki kuona kawaida tu,sio yule anatamani mh hivi huyu mwenye wowowo ana utamu gani???
 
nae ni binadamu si malaika
msamehe maana amejua kosa lake
naimani hatorudia,mpe nafasi nyingine!
 
Ndoa nyingi zinavunjika kwa kupuuzia dalili tunazoziona kipindi cha uchumba na kujifariji eti akinioa au nikimuoa atabadilika,thubutu!utaishia kujifunga katika jela utayoijutia maisha yako yote,kifupi keshakuonesha tabia mbaya mwanzoni chukua maamuzi magumu ambayo is up to you to decide!pole sana najua ni kiasi gani inauma!
 
Mwana piga chini huyo malaya, and for sure she is disqualified forthwith with the appeal rejected.
 
Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo anamalizia degree yake. Last weekend niliamua kumtembelea huko hostel kwake bila kumjulisha, ilikuwa jumamosi nikiwa na lengo la kwenda kumchukua ili tutoke kidogo! Cha ajabu huyo binti sikumkuta, nilipo jaribu kumuuliza mwenzake anaeishi nae chumba kimoja kasema aliondoka tangu jana yake jioni (ijumaa) na hakurudi hadi mida ya saa 10 jioni ambayo mimi nilipofika pale! Nikaamua kumpigia simu, kwavile yeye alikuwa hajui kama mimi nipo pale hostel, akawa ananidanganya eti yupo hostel na tena ameboreka sana, analalamika eti nimemtosa hata simu kutwa nzima sijampigia na mambo mengi! Mimi niliamua kuondoka huku nikiwa nimekasirika sana bila kumwambia kama mimi nimefika pale hostel! Jumapili aliporudi hostel akaambiwa kuwa mimi nilifika na nilimpigia simu nikiwa pale, binti amechanganyikiwa, analia hovyo na anaomba msamaha, tena amemwambia hadi mama yake na dada yake, leo jioni dada yake anataka kuonana na mimi, wadau mnanishaurije? Nimpotezee huyu dada? Kwani mimi nimesha amua kumwacha kabisaa huyo binti, na mali niliyotoa kwao nipo tayari kusamehe!

Follow your heart,lkn akwambie na uthibitishe alikuwa wapi!Asipothibitisha pasipo kuacha shaka alale mbele au ukubali ku-share!
 
we mfanye ---- met then jifunze tabia ya kutosamehe makosa yasiyo sameheka ni kujidanganya tu kwani hata MUNGU hajamsamehe shetani mpaka leo, ukimsamehe utajuta hata, also note that hata ukisamehewa ni kuuza ur freedom
 
Huyo anakucheat, suala moja tu hapo, tupa kule bhaaaaasi
 
Sio mwaminifu, atakusumbua siku za mbeleni, muite umuelezee nia yako ya kumuacha na umuache kweli
Siku 2 kaenda kula bata nje ya chuo ya tatu ndo anarudi lol?
 
Awe nyumba ndogo au uwe nyumba ndogo yake?! kama huwezi kumeza kimoja wapo... kikao kushnehi...:rockon:
 
piga chini bwana.kwanini mtu asitulize k yake.
kwanini ulishwe haramu? kwanini mtu asikitulize,piga chini tena kapime afya yako ujue moja..

mhhh...:A S-heart-2:
 
kama we ni msafi basi muache
Unajua kumuacha mtu bila ufafanuzi wa kosa alilotenda ni ujuha mwingine.Labda alidanganya kwa nia nzuri kaogopa kusema ukweli kwa hofu ya ucomplicator wako?
 
usimwache msameh mkalishe chini mpe darasa , kumwacha sio suluu kua umemaliza tatz hata kama ukipata mwingine itakua hivyohivyo maan wanawake mama yao hua mmoja angalia muda mlio tumia na ngharam ulizo tumia,
 
habari wana jf! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo udsm na kwa sasa ndo anamalizia degree yake. Last weekend niliamua kumtembelea huko hostel kwake bila kumjulisha, ilikuwa jumamosi nikiwa na lengo la kwenda kumchukua ili tutoke kidogo! Cha ajabu huyo binti sikumkuta, nilipo jaribu kumuuliza mwenzake anaeishi nae chumba kimoja kasema aliondoka tangu jana yake jioni (ijumaa) na hakurudi hadi mida ya saa 10 jioni ambayo mimi nilipofika pale! Nikaamua kumpigia simu, kwavile yeye alikuwa hajui kama mimi nipo pale hostel, akawa ananidanganya eti yupo hostel na tena ameboreka sana, analalamika eti nimemtosa hata simu kutwa nzima sijampigia na mambo mengi! Mimi niliamua kuondoka huku nikiwa nimekasirika sana bila kumwambia kama mimi nimefika pale hostel! Jumapili aliporudi hostel akaambiwa kuwa mimi nilifika na nilimpigia simu nikiwa pale, binti amechanganyikiwa, analia hovyo na anaomba msamaha, tena amemwambia hadi mama yake na dada yake, leo jioni dada yake anataka kuonana na mimi, wadau mnanishaurije? Nimpotezee huyu dada? Kwani mimi nimesha amua kumwacha kabisaa huyo binti, na mali niliyotoa kwao nipo tayari kusamehe!

umeonja umelewa, ukinunua!!?.....utamwaga...
 
Mpe nafasi ajieleze machoni pako, then utaamua mwenyewe mkuu.
 
Back
Top Bottom