Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

Kama hujawahi kumuagizia dem kinywaji cha gharama alafu akanywa robo akaacha hadi ukatamani umalizie

Ujue wewe bado saaana
 
Mwenye simu ya tecno aweke hii picha google search photos.. zitakuja nyenzake

Mpwayu yuko zake Kahama huko anakusanya oda za mchele
Pole sana mkuu, MIMI Sina maisha yakuhangaika Kwa jasho, kahama naenda kukusanya hesabu tu then na back jijini kula maisha, bata hata jumanne nakula sisubiri wikiendi
 
Mimi hivyo Vyakula na hivyo vinywaji sijawai kula wala kuviona ndo nipo nashangaa shangaa hapa macho
 
Kwa hiyo ulimla jicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…