Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

Mzee unazingua..... unaagizwa mishkaki nawe unaenda tu.

Au unataka kumeonyesha una mapenzi ya dhati babulai?

Yero nawe unazingua. Kwani huyo ni mkewe au dada wake wa kazi? Majukumu yanaenda na nafasi. Nafasi ya demu inajulikana duniani kote. Jamaa kununua mishikaki ilikuwa sawasawa kabisa kulingana na majukumu ya demu.
 
Aisee kuna mijanamke kwel sjui ikoje, yaani nimeamka asubuh nimeenda job nimeliacha limelala linajitanua tuu kwenye 6×6 yangu,

Kila kitu kiko ndani,friji imejaa nyama, kila kitu, mchele uko ndan, unga, mayai,etc
Kiiiila kitu...

Yaan naingia tuu moja kwa moja jikoni,***** hakuna kitu, namuuuliza eti sijapika, kaona nimetoka nje, eti naomba niletee mishkaki,..

Kiukwel now nina njaa ya ajab, nakula dodo hapa na matango yalikua kwenye friji...huyu demu ni bure kabsa, halafu ni new project...

Alafu limekaa hapa linakula mishkaki huku linanihadithia hiyo muvi ya Gabo linaangalia maisha magic bongo.
Umelipiga Machine lakini Braza ???
 
Kwani mwanamke anapofika kwako ni lazima apike? Nikuulize pia, wanawake wanapoolewa wanakuja kupika na kukufulia nguo wewe? Fanya kazi kijana, ukute umeshindwa kumpa inavyotakiwa mpka anapata nguvu ya kuangalia MAISHA MAGIC. Mpatie show za kibabe uone kama atapata muda huo. Akipewa show na wanaojua kazi ni lazima ukute kalala usingizi mzito huku kaachia miguu mwaa.
 
Kwahyo nisiende job kuanzia asubuh nishinde nae napiga mashine tuu,.
Ahh mjomba.
 
Angepika vipi wakati hukumwambia kupika, sometimes tunapenda kulalamika bila sababu.

Acha maagizo mkuu au mweleze maisha halisi unayotaka
 
Hahahahaha lol! Mkuu kwanza nimefurahi kukuona karibu sana. Kumbe ningetumia kisigino cha mguu tu kumbana ningemmaliza chaliii miguu juu LoL!

Aisee hekima na busara zako humu tunazimiss sana pamoja na yule mchagga wa Tanga.

Hahhahha, mkuu BAK umeua mende kwa nyundo!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahaha lol! Mkuu kwanza nimefurahi kukuona karibu sana. Kumbe ningetumia kisigino cha mguu tu kumbana ningemmaliza chaliii miguu juu LoL!

Aisee hekima na busara zako humu tunazimiss sana pamoja na yule mchagga wa Tanga.

Hahahhhaha, mchagga wangu wa Tanga na mimi sasa ni wastaafu. Tunapitia JF kucheka tu na hivi vitimbi vinavyoendelea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tunawamiss sana tu kusema kweli. Tupo baadhi bado tunalisukuma hili gurudumu kwa nguvu zote akiwemo Babu Aspirin na wengineo.

Hahahhhaha, mchagga wangu wa Tanga na mimi sasa ni wastaafu. Tunapitia JF kucheka tu na hivi vitimbi vinavyoendelea.
 
Back
Top Bottom