Nimemwacha aende zake

Nimesoma hii stori kwa masikitiko makubwa... Me mwenyewe nina kademu kama hako kananisumbua sana

Najaribu kukafanyia mambo mazuri na kumtimizia haja zake lakin hakapendeki... Hii siku ya 3 ajanichek kwa simu anasubir hadi nimuanze mimi..fvck love
playboy, what kinda PB are you!? you musnt have any feelings, be like a play boy bhana.
 
Mkuu hii Id ni ya kupunguza machungu tu hakuna cha playboy wala fvck boy
hahahaa
asee kwa id yako huwa nakuheshim sana najua kisungura haunaga maumivu, au ndio umekutana na playgirl

usjali mwanangu mapenzi yaki kuumiza ndo yakupa uzoefu
 
Kwel mkuu hata mimi nimesha kubwa na mischana wa namna hiyo kama wewe,ni shida kwel kwel
 
Mkutane angaza kesho wote watatu na viatu vya chuma ili msije mkakimbia pekupeku
 
Daaaaaah uzi wako unanilenga Mimi mkuu...watoto Wa uswazi wanatesa sana ....alafu njaa nyingi
 
Mi nilikuwa naye wa uswahilini Tumetoka out tumeagiza msosi anasema tufunge anataka kwenda kula nyumbani na mama yake mdogo,nikaona huu njaa sana.
Wale wa uswahilini wanawezana wenyewe kiongozi ukienda wewe wanakuona kama fala flani la kupiga pesa kumbe muda mwengine mtu una mapenzi ya dhati kwake .Pole mkuu wanapenda kula hao sema vizinga vyao sio vikubwa sana.
 
Watuchune tu na kutuita madanga ila dua la danga hufika mbali sana, huwezi kula vya mtu bure ukabaki salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…