Nimemwacha aende zake



Thanks my lovely super Dear Smart911

Am very grateful for all your concern on mahondaw you love and care for her kiasi kwamba dahhhhhhhhhhh

Nakupenda sana Smart911 wamie. Mengine


Wacha nifunge domo langu
 
Hahahahahaha. Umefanya vizuri kumuacha bro. Hongera sana.
Unajua warembo wa Uswahilini huwa majibu yao si mazuri sana japo kuna wengine wanajiheshimu saana.
Yawezekana hata wewe ulikuwa Danga kwake, na akiwa na wengine aliwaambia hivyo.
The one who tell u about others, is the one who tell others about u.
 
mkuu huyo bint hakukupenda huwenda alikuwa anakutumia bila kujua
age sio sababu wala bint kuwa wa uswahilini pia sio sababu
wapo wenye age ndogo na wanajielewa na wenye kujal na kuthamini
sema umekutana na bundi tu ndo mana bahati mbaya imekuangukia
 
Thanks my lovely super Dear Smart911

Am very grateful for all your concern on mahondaw you love and care for her kiasi kwamba dahhhhhhhhhhh

Nakupenda sana Smart911 wamie. Mengine


Wacha nifunge domo langu
With all the respect its my pleasure to serve you my queen... Your wish is my command mahondaw wangu...

Anything for you my lady...

Cc: mahondaw
 
Hahahahahahahahahahshahahahahahahahahahahaha
 
hhahahahahahaaaa Hauoni kakusaidia papuchi muda mrefuu?? oke actuaaly ata mimi sitarudia kudate na demu wa kimaskini kwanza wanakuwa hawapo sawa kisaikolojia wanakuwa na kitu kama inferiorty complex ivii
Hahahahahahahahahahahahaha..inferiority complex!!!!
 
mtoa uzi naona kama mapenzi yamekuchoma kapoteza mda wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…