Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

Mwanamke yeyeto asiye na heshima kwa mume wake hata mzazi wake hawezi kumpa heshima yake. Na anakuwa hana heri duniani. Maandiko yanasema waheshimu wazazi wako upake heri na baraka tele duniani
Mwanaume akiwa kichwa ndani kinachojua kuongoza hawezi kosa kuheshimiwa, lakini ukiwa zoba zebe lazima iwe hivyo, Mme anakaa na mkewe siku mzima ndani kama yake hata sauti kama kuna mwanaume ndani hakuna
 
Kama mama yake alishindwa kumyoosha je wewe utaweza?
Mzazi anamlea mtoto vibaya then mzigo wa malezi mabovu akabebe mwingine wakati aliyemlea vibaya kakunja nne kijijini hii ni SAwa kweli?
Mkuu
Mama atachapa wakiwa wadogo
Ila kwa wasichana wanajiona wote ni wanawake pindi wanapovunja ungo

Wasichana wengi na asilimia kubwa huwa wanawajibu mama zao bila heshima

Na kama baba hayupo au kafariki
Mama akaleta mwanaume mwingine chances za msichana hata kumchukulia mme ni sawa kwao

Ila kwa Wavulana abadan hawezi kuvunja heshima kiasi hicho hata kumjibu Mama yake mzazi
Nimeona mengi sana kwa umri huu
 
Inaonekana huyu mke wako hana heshima hata kwa mama yake, ndio maana kakuambia mpige

Mama anamjua vizuri mwanae na inaonekana kabisa huwa anamjibu vibaya mama yake

Ila inaonekana baba yake alikuwa anampiga haswa (wazo tu)

Mpeleke kwao na ufungue jarida la kesi
Akikataa mpe likizo isiyo na kikomo

jalada la nini mkuu amzibue kidgo. unamzibua then unamuomba msamaa mkiwa hosptal ila hatarudia tena.
 
Mwanaume akiwa kichwa ndani kinachojua kuongoza hawezi kosa kuheshimiwa, lakini ukiwa zoba zebe lazima iwe hivyo, Mme anakaa na mkewe siku mzima ndani kama yake hata sauti kama kuna mwanaume ndani hakuna
Kutokuwa na heshima ni matokeo ya malezi mabovu, mwanamke mwenye malezi umpa heshima mme wake Ili watoto wake wasiige tabia mbovu, nao kesho wakashindikana kwenye ndoa zao
 
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.

Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.

Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.

Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,

Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.

Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?

Nilikuwa kama ww, siamini katika kumpiga mwanamke, kichaa kikaanz akumpanda taratibu ndio siku nilipochoka nikajikuta nashusha dozi , tokea siku hiyo hajawah nijibu hovyo tena
 
Hahaha, awaheshimu wazazi apate miaka mingi na heri duniani. Japo mwanamke mwenzangu na mi nasema ampige tu. Ila kiasi kidogo tu sio vya kutoana alama.
Mwanamke kiburi unamfanyaje sasa maana kashindikana kabisa.
 
Kuna wanawake wengine bila kipondo heshima haiji. Nina mchepuko nampenda kuliko hata mke wangu ila ndo pasua kichwa hasikii haelewi. Na nlipanga kuvuta jiko ila ni kiburi mbisha na lake ndo sheria
 
Jitahidi kumkojoza mke wako mkuu kitandani...sisi wengine tukirud tunasalimiwa kwa kupigiwa magoti(shikamoo mume wangu)!...kuna rafiki angu mmoja nilirudi nae nyumbani hakuamini kama nasilimiwa shikamoo na mke wangu kwa kupigiwa magoti!
 
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.

Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.

Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.

Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,

Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.

Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?
USIMPIGE MDHARAU TU TENA KIMYAKIMYA ATAKUHESHIMU HADI UCHANGANYIKIWE
 
nasemaje nasemaje piga makofi hiyo, wa mama wanawafahamu watoto wap vizuri
 
kwaiyoo mkuu mpaka mkwe akuambie mnase vibao vitatu alafu lala nje week akili zitarudi.

mimi wa kwangu jana nimsindikiza rafiki yangu tukawa tunapiga story nje ya geti anaona kabisaa sijawasha gar. akaleta jeuri nilimnasa kibao saivi niko hosptal anahisi sikio haliko sawa. saivi yuko sawa nikimshika na mkono wa kulia hataki.
Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom