Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,051
- 2,107
Ndugu zangu,
Juzi jioni nimetoka kwenye mizunguko yangu kufika home huyu mtu akaja kuniletea vurugu akaninasa vibao vya kutosha na mangumi bila sababu nikaona na hii njaa niliyonayo nguvu za kupigana sina.
Nikaenda police nikamfungulia mashitaka toka juzi yuko huko lock up ndugu zake wanahaha kunitafuta tuyaongee yaishe lakini mimi nimewalia buyu haiwezekani mtu akafakamie mapombe yake huko aje kuniletea fujo mimi.
Wakuu nitakua nimekosea au?