Nimemuumiza....

maumivu ya kusalitiwa ni makubwa hasa kama mtu ulimwamini sana, mpe nafasi lakini pia ujiandae kwa uamuzi wowote atakaouchukua
 
Rudisha siku nyuma
 
Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??
 
Natamani siku nifumanie wallah my dream car ataninunulia
Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??
 
Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??

wanawake mnapenda kudanganywa sana
 
inasikitisha sana!! ndo maana tunaona bora tuzae watoto bila kuolewa!
 
Atarudi tu asikupe shaka huwa wanarudi tuuuu. Hawanaga pa kwenda kivileee. Mwanamke akipenda bwana kapenda tofauti kabisa na sisi.
 
Pole sana Mkuu, Binadamu hakuna Mkamilifu, kikubwa elewa wapi ulipojikwaa ili kesho usije jikwaa tena, hakuna kitu nakichukia kama kumuumiza moyo mtu anayekupenda hasa kwa kum cheat, ila ndo yashatokea, Muombe Radhi, hoping atakuelewa na usirudie tena mkuu. Kila la kheri.
 
Give her a tym afu umnunulie zawad nzur ya kumshusha hasra!si unajua siku hizi. Mwanamke apigwi ngumi au maneno!unampiga na li samsang galaxy na iphone??
Aiseeh!! Kumbe...
 
Atarudi tu asikupe shaka huwa wanarudi tuuuu. Hawanaga pa kwenda kivileee. Mwanamke akipenda bwana kapenda tofauti kabisa na sisi.

unajiamini mzee,hehe kuna namba hujakutana nazo lazma mwnyw ushtuke mbna huyu bnt is actn so cold na harudi,wanaume wenyew weng hv hakyanan ungeisoma namba kwangu
 
Huyu uliyekamatwa nae ndie anakufaa, achana na huyo miaka 3! kipya kinyemi..ebooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…