Nimemuumiza....

sheet happen in life....... endelea kuomba msamaha huku ukiendelea kumpa muda.... ila akitaka muachane let her go dont force okey...........
 
Mpenzi wako unae km unavyodai unamepnda kilichokufanya uende huko nini?? au ulilipwa hela
 

kwani wakati unafanya unawaza nini?
 

Naomba akuache, ili ukimpata mwingine uwe mwaminifu. Ujumbe kwa shostito. Click: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/566865-once-a-cheater-always-a-cheater.html
 
Unaomba msamaha halafu akikusamehe u-cheat tena. Cheater will never stop cheating. Utamweka kwenye circle. Cheat---apology-----forgiveness------happy moments------cheat again. Inakuwa hivyohivyo.
 
Hayo ndio malipo ya usaliti why ulimcheat haina pole hiyo

as binadamu nini mapungufu...na najua nilichofanya si sawa...ila am sure nimejifunza n haitakaa ijirudie......1 thing tuu ni kwamba sitotaka isijirudie kwa mwingine bt yeye nimpendae...na niliemkosea......coz nampenda ingawa kibinadamu nimekosea.
 
hayo maneno ya kingereza umeweka ili tujue umesoma au!usiwe -----.kama kiswahili andika kwa kiswahi.
 
baada ya kudanganya, umekuja na staili gani ya kumwonyesha au hujui nyama ni ile ile?
 
mwanaume upewe nini uridhike....did you experience any difference 🙂fish2🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…