Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 350
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
Ukimpa mtu kitu usimpangie akitumieje aisee..
Sasa kama mshapelekana polisi kwa nini usitulie ujue hatma yako..
BTW umemshtaki kwa kosa gani??...kuhonga kitu cha kuhongwa?..ryte?...lol!!
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
Ukome kuvamia fani ya UHONGAJI!!!!!!!!!!!! Uwe unahonga kwa stepu, sio kichwa kichwa!!!!! Hicho kisimu hakuna kukisamehe wala nini, wewe umekosea kuleta ubabe wakati kuku keshaliwa, haya zoa manyoya uende nayo nyumbani!!!!! Hapo inabidi kwanza umzidi akili, ikwemo kumdanganya simu isiwakosanishe, bado wampenda, akusamehe kumuweka ndani. Blah blah blah hadi aamini soo limeisha na amekutuliza ka maji ya mtungi. Subiria Mwezi hivi, jifanye una shida kinomaaa, mkope LAKI 5 akikupa tu mwambie ndo fidia ya SIMU, Achape lapa. Ila kiubabe ushapotezwaa kitambo!
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
Jamani Msandawe... Ilikuwaje? Hii kali! yaani nimeishiwa maneno.. Polee...