Ni kweli Mungu anatajwa wakati wa shida na sio raha kwani wakati umejitosheleza kwa kila kitu unajiona wewe ni kila kitu na kusahau kuna aliyekupa pumzi. Anapotaka kuichukua ndio unamkumbuka .Hata hivyo kuna wachache wanaomkumbuka wakati wa shida na raha na ufalme wa mbingu ni wao japo sina uhakika