Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,793
- 107,256
Ndie anaye zungumza..
Amefanyaje huyo uliemtaja?
Amefanyaje huyo uliemtaja?
Yani wewe umekuja juzi tu unasiku 5 ushaanza mapenzi. Patakushinda humu
Jamani alafu wewe nakutafutaHahahaa. Mie Mmasai shoga Tanga nililowea tu. Sie ni wale wamasai tuliojaa kule Handeni.
Uko vzr mrimbwende....Yaani wewe umenishinda tabia ujue
mieee?Jamani alafu wewe nakutafuta
Aya ukuje chumbani sasa. Usishitukemieee?
Nipo sana tu mbona. Itakuwa tunapishana.
Chumbani tena. Mmh.Aya ukuje chumbani sasa. Usishituke
Sasa. Yani unataka nimwage Michele hapa hapaChumbani tena. Mmh.
Hahahaha mikeutaja fir.wa kijana achana na wake za watu
halafu wewe ni pure domo zege....style yako zilipendwa mno