Mi nampenda mahondaw na emmyta
Kijana anatia hasira, amebaki yeye na goalkeeper tu anataka kupaisha mpiraYaani wewe umenishinda tabia ujue
Anaanda chakula, si unajua tena mwanamke mapishiHaha
Acha hizo Shem... Shunie yuko wapi
Bado tu mambo yanaendeleaniambie madam
HahahaHahahaa. Mie Mmasai shoga Tanga nililowea tu. Sie ni wale wamasai tuliojaa kule Handeni.
Pamoja na kuja na ID mpya bado hajiaminiKijana anatia hasira, amebaki yeye na goalkeeper tu anataka kupaisha mpira
Yupo humu mbonaAnaanda chakula, si unajua tena mwanamke mapishi
Ndio mwenye uzi ndio karudi jioni anajiumauma kweliBado tu mambo yanaendelea
Kijana anatia hasira, amebaki yeye na goalkeeper tu anataka kupaisha mpira
Kwa sifa zilizotajwa hapa!! , mmh haya lakini.Hahahaa. Mie Mmasai shoga Tanga nililowea tu. Sie ni wale wamasai tuliojaa kule Handeni.
Amefanyaje huyo uliemtaja?
Je kama yupo serious utamwelewa?...sidhani
Kumwelewa aje kua nimpe nafasi???? Hilo haliwezekani, anisamehe bureJe kama yupo serious utamwelewa?...
Hatimae mwenye uzi naona amerudi baada ya kuona mwandiko wa ampendaenisaidie kupiga debe