Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,849 Apr 13, 2016 #21 Kaboom said: Valentina we una sauti ngapi za mahaba? Click to expand... Ninayo moja tu,ile ya kudai madeni
Kaboom said: Valentina we una sauti ngapi za mahaba? Click to expand... Ninayo moja tu,ile ya kudai madeni
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,032 Apr 13, 2016 #22 Valentina said: Ninayo moja tu,ile ya kudai madeni Click to expand... Duuh..We haufai hata kuwa housegirl..Yani kwenye sauti 21 unayo moja tu
Valentina said: Ninayo moja tu,ile ya kudai madeni Click to expand... Duuh..We haufai hata kuwa housegirl..Yani kwenye sauti 21 unayo moja tu
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,849 Apr 13, 2016 #23 Kaboom said: Duuh..We haufai hata kuwa housegirl..Yani kwenye sauti 21 unayo moja tu Click to expand... Ha haa sauti yenyewe ilivo na mikwaruzokwaruzo kama mbeba zege hizo 20 nizitoea wapi mie. Moja yanitosha ya kijeshijeshi tena
Kaboom said: Duuh..We haufai hata kuwa housegirl..Yani kwenye sauti 21 unayo moja tu Click to expand... Ha haa sauti yenyewe ilivo na mikwaruzokwaruzo kama mbeba zege hizo 20 nizitoea wapi mie. Moja yanitosha ya kijeshijeshi tena
Benny JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 3,275 Reaction score 5,416 Apr 13, 2016 #24 umetumia jina la Le Baharia bila ridhaa yake....ngoja aje hapa!
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,032 Apr 13, 2016 #25 Valentina said: Ha haa sauti yenyewe ilivo na mikwaruzokwaruzo kama mbeba zege hizo 20 nizitoea wapi mie. Moja yanitosha ya kijeshijeshi tena Click to expand... Teh teh..Ila kama ndo hiyo uwa unaitumia kumbembeleza baby wako akatoa mtonyo sio mbaya
Valentina said: Ha haa sauti yenyewe ilivo na mikwaruzokwaruzo kama mbeba zege hizo 20 nizitoea wapi mie. Moja yanitosha ya kijeshijeshi tena Click to expand... Teh teh..Ila kama ndo hiyo uwa unaitumia kumbembeleza baby wako akatoa mtonyo sio mbaya
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Apr 13, 2016 #26 kigori wa kilwa said: Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe. Click to expand... Shosti siunajua wanaume anataka utumie maneno matamu na laini hata kama hana ataenda kukopa..
kigori wa kilwa said: Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe. Click to expand... Shosti siunajua wanaume anataka utumie maneno matamu na laini hata kama hana ataenda kukopa..