kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
msikilize mariam jinsi ya kumuomba pesa mumeoAaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe.
Yako mengi sana mijianamke ya aina hiyoinaelekea umekosa heshima na adabu mbele ya mwenzi wako huyu ndio maana huambulii hata senti yake kwa maneno yako hayo yasio na staha hebu jaribu kutumia maneno matamu uone kama atakunyima hicho unacho kitaka
si kosa lake tatizo ni dharau upeo wa kufikiri na kushindwa kujitathminiYako mengi sana mijianamke ya aina hiyo
sawa mama Swalehe!Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe.
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] mebidi nicheke namm looh,.eti kapuku hihihihihihii[emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume tuna tabu sisi hasa ukiwa kapuku
Nimemsoma huyu shangingi anaongea ukweli fulani hivi amazingmsikilize mariam jinsi ya kumuomba pesa mumeo
Poleni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume tuna tabu sisi hasa ukiwa kapuku
Teh wanaume kama watoto,haya bwana watoto wetumsikilize mariam jinsi ya kumuomba pesa mumeo
Valentina we una sauti ngapi za mahaba?Teh wanaume kama watoto,haya bwana watoto wetu