hahahah imenibidi nicheke pia kwahiyo wachang'ombe ndio wachunaji?...... very interesting
hahahah imenibidi nicheke pia kwahiyo wachang'ombe ndio wachunaji?...... very interesting
Na mimi najiuliza hilo....
au wewe unalipa bill half?
Na mimi najiuliza hilo....
au wewe unalipa bill half?
..jana nimetoka nduki na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bila kunishirikisha......
nikila au kunywa na kukaa bila kushare najiona mzigo afu nawaza huyu mtu ananiwazia nini? too sensitive