Nimemuacha na huyu

Nimemuacha na huyu

Singasinga sasa mkuu haya mahusiano ulkuwa unayaendesha vipi? Wakati kule kwenye No fap challenge ww ndo kiranja unasisitiza na kukemea vikali kula mbususu
Hao walikuepo tu kabla hata sijajiunga na hiyo harakati ila mpaka sasa ninaendelea.
Screenshot_2022-09-17-08-34-34.jpg


Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Scout yangu usahili wa awali umekamilika
Wagombea nafasi wote wameshindwa kukizi vigezo takiwa

Aliekua amebaki ni huyu nae kajichanganya kanitumia haka ka ujumbe mchana automatically akawa disqualified.


Mimi natafuta pure N really africanism woman. View attachment 2358998

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Hayuko Poa anahitaji maombi óoogh sorry anahitaji Pesa
 
Scout yangu usahili wa awali umekamilika
Wagombea nafasi wote wameshindwa kukidhi vigezo takiwa.

Aliekua amebaki ni huyu baada ya juzi Manka kuondoshwa kwenye kinyang'nyiro, sasa nae kajichanganya kanitumia haka ka ujumbe mchana automatically akawa disqualified.


Mimi natafuta pure N really africanism woman. View attachment 2358998

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
🙀Unaonekana mbahili hadi balaa....... Ukweli unauma pole huyo alishakuacha siku nyingi ulibaki na kivuli😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiiii
 
[emoji79]Unaonekana mbahili hadi balaa....... Ukweli unauma pole huyo alishakuacha siku nyingi ulibaki na kivuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiiiiii
Sawa
Hata Samson alitoswa na msichana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom