Nimemuacha bi mkubwa wangu kisa anapenda Mapenzi kila wakati

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Haipiti muda bila kukutext limemisi uchakataji, ata ukitoka kuichakata ikipita masaa kadhaa lazima likutext limemisi tena,

Muda wote papuchi iko hot, haijawahi kuishiwa Oil kamwe kaah, Ata kama napenda mapenzi sio kwa style hiyo, ni sawa ana body sex linaloshawishi, tako kubwa, mbuno ya maana rangi ya mtume lakini hapana,

Nimeona ananitumia sana, haiwezekani ndani ya miezi kadhaa ni mimi tu wa kupungua uzito wakati mwenzangu ananenepa, Nimeamua kumvungia leo siku ya tatu, sijibu text wala kupokea simu zake, Nimeamua nipumzishe kitendea kazi changu kisije kikaisha kama penseli.

Nimeamua kuchukua maamuzi mazito japo Roho inaniuma.

Cc Zero IQ
 
Cc zero IQ..

Kwa burudani zako zisizo na kikomo watu hatuchoki kukufuatilia nyuzi zako maana huwa unatuburudisha wengi

Ninajua story zako ni chai ya rangi ila zinatupunguzia mawazo ya hizi stress za kupauka usoni hadi mifukoni.
 
Haipiti muda bila kukutext limemisi uchakataji, ata ukitoka kuichakata ikipita masaa kadhaa lazima likutext limemisi tena,

Muda wote papuchi iko hot, haijawahi kuishiwa Oil kamwe kaah
Ata kama napenda mapenzi sio kwa style hiyo, ni sawa ana body sex linaloshawishi, tako kubwa, mbuno ya maana rangi ya mtume lakini hapana,

Nimeona ananitumia sana, haiwezekani ndani ya miezi kadhaa ni mimi tu wa kupungua uzito wakati mwenzangu ananenepa,

Nimeamua kumvungia leo siku ya tatu, sijibu text wala kupokea simu zake,
Nimeamua nipumzishe kitendea kazi changu kisije kikaisha kama penseli.

Nimeamua kuchukua maamuzi mazito japo Roho inaniuma.

Cc Zero IQ
Naomba namba yake ya simu nina jambo naye
 
Na hapo bado chanjo za pepopunda hazijandungwa! Sijui tunaelekea wapi hii nchi!!
Mwanaume kukimbia papuchi!!

Mkuu, namba zake basi tugawane dhambi
 
Nilikuwa nimefungua diary yangu ya nyuzi niangalie uzi gani unafaa kufurahisha jukwaa! Mara Pap! Nakutana na hili dhari! Nimejikuta narudisha diary yangu chini ya godoro!!

Mama anaupiga mwingi!!
Mkuu ashakumu si matusi,
wewe pamoja na man biznes nyuzi zenu za hivi karibuni zimekua zikinikera sana. Mnanipa mashaka hayo mafuvu yenu kama yana ubongo kweli?
Daah!! Huyo Mwamba wa kujiita man biznes ndiyo usimtaje kabisa. Full Matukio!
 
Haipiti muda bila kukutext limemisi uchakataji, ata ukitoka kuichakata ikipita masaa kadhaa lazima likutext limemisi tena,

Muda wote papuchi iko hot, haijawahi kuishiwa Oil kamwe kaah
Ata kama napenda mapenzi sio kwa style hiyo, ni sawa ana body sex linaloshawishi, tako kubwa, mbuno ya maana rangi ya mtume lakini hapana,

Nimeona ananitumia sana, haiwezekani ndani ya miezi kadhaa ni mimi tu wa kupungua uzito wakati mwenzangu ananenepa,

Nimeamua kumvungia leo siku ya tatu, sijibu text wala kupokea simu zake,
Nimeamua nipumzishe kitendea kazi changu kisije kikaisha kama penseli.

Nimeamua kuchukua maamuzi mazito japo Roho inaniuma.

Cc Zero IQ
Ulimpata hapo kwenye kiwanda Cha viazi
 
Back
Top Bottom