Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,489
- 64,806
Inategemea na aina ya sampo mkuuBro hawa watu sio. kumbe alikuwa anakuja kwako nimekutana nae akaniambia anaenda kwa dadake sasa hivi yupo hapa kwangu jikon anaanda madikodiko twendelee na mechi bro. Labda uniambie ulimtumia sh ngapi nikurudishie mimi. Ila na wewe umefeli ndugu cku hizi nauli hazitumwi
Atafika kweli?Aisee🤔
Unanikatisha tamaa kabisa, ni sawa na mgonjwa kumpiga na shoka ili afe haraka.Hatafika
Achana nae
Kuishi muhimu, mbinguni hatuendi na majengo wala magarinamna hii swala la kujenga utasikia kwa majirani zako dogo hiyo naili ungenunua bati mbili+
Ulitaka nikudanganye?Unanikatisha tamaa kabisa, ni sawa na mgonjwa kumpiga na shoka ili afe haraka.
Inawezekana kuna mwananzengo humu anamkawisha barabarani ili asifike harakaMtumie kabisa na ya kula njiani
Labda ameona mimi nimeoza kwakeUlitaka nikudanganye?
Kwa hiyo una date na mtu hana hata nauli ya kujia kwako ang'alau umpe ya kurudia 🤔
Lakin vizuri unajaribu kua provideLabda ameona mimi nimeoza kwake
Ndio hivyo, jogoo lazima ambembeleze mtetea ili ampe ushirikiano vizuriLakin vizuri unajaribu kua provide
Mwanaume na nusu
SaafiiNdio hivyo, jogoo lazima ambembeleze mtetea ili ampe ushirikiano vizuri
Wewe peponi una kiti chako utapewa marijali 73😁Ulitaka nikudanganye?
Kwa hiyo una date na mtu hana hata nauli ya kujia kwako ang'alau umpe ya kurudia 🤔
Uta wamudu kweliNamna hii na marijali 73
Sema namba tasa haigawanyingi
Ingefanywa 74
Safiii tuUta wamudu kweli
Pole sanaNdani hakukaliki kabisa, nikikaa kwenye kiti najikuta nataka kusimama, mara nitoke nje nichungulie n.k Ama kweli, mahusiano yanaweza kumfanya mtu kuwa kichaa.