Nimemtongoza kimada wa boss

Nimemtongoza kimada wa boss

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,970
Doh hili balaa.

Kuna mdada niko nae kwa ofisi. alikua anaonyesha dalili zote za kuvutiwa nami, Ikiwemo mitego mbalimbali Nami nikavutika na tayari taratiibu moyoni akachukua nafasi. Kutokana na utamaduni wetu wa kitanzania niliamini kua kwa dalili hizi anasubiria tu mimi ndio nitamke kua namzimika.

Sasa last week nikaona nianze kumtongoza kupitia simu yake ya mkononi.

Halahaulaa kumbe ni mchepuko wa bosi mkubwa. Nasikia hata kazi yenyewe ndo kampachika yeye. Si akamwonesha hizo meseji za mahabaati!
Bosi akanichimba biti. Mbaya zaidi kila mtu hapa ofisini amefahamu.

Yaani maisha yamekua magumu kwa kweli.

Kila nikijaribu kujikaza lakini wapi.
 
Ndio maana nasema michepuko siyo dili.... Angalia future ya huyu binti aliyelaghaiwa na kazi.. Michepuko ni uasi kwa binadamu wengine.
 
Sie wanawake bAnA hatutumiagi akili saa zingine
 
akili ya huyo dada ziko nusu afu ni mshamba eti kwamba amemuonesha uyo babu yake sijui ba mkubwa msg ili ajue kuna watu wanamtongoza sana au? na wewe mpige bit aache umalaya
 
Duuh pole sana mkuu, kwani huku Google kabla ya kumwaga sera. Maana kwenye maofini ni kama kwenye kwaya. Kila mtu huwa na wake hata kama sio wazi basi sirini. Kwa kuwa maji yamemwagika huna budi kuyazoa kwa kukaa mbali na huyo SHOSTI.
 
Huyo dada nae hamnazo kama alikua hakutaki hakuwa na sababu ya kuonyesha sms zako kwa uyo mchuchu wake angekwambia kweli kuwa bosi kubwa ameshawahi. hakuwa na sababu ya kumuonyesha. uwo ni ushamba tu.

sure hawa watu cjui wakoje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom