Nimemtongoza kakataa ila hachoki kuniangalia

Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena

Ulijuaje kama anakuangalia bila wewe kumuangali? Labda anashanga kua hata wewe pia unaweza kumtongozaa? Lakini hana maana hiyo yako...
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1426917913.339058.jpg
    32.4 KB · Views: 440
Anakuona jambaz jambaz labda! lkn na ww unatongoza mara moja unamuacha wenzako tunatongoza mara ishirini ishirini hicho kifaa unakamata rudia tena zoezi alafu utujulishe.
 
Wewe umempotezea ila kila anapokuangalia unagundua? Sasa unagunduaje kama nawewe huumii kimyakimya Mkuu?
 
nimepita tuuu.....ila kama amekata ajua moyoni ni YES YES YES YES
 
Kukuangalia tu haimaanishi ana interest na wewe pengine labda ANAKUSHANGAA
 
Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena

mmh! broh! we kama vp mkaushie kama anakereketwa rohon anaweza kukufuata
 
but bwoy swal linaweza kuibuka tena,we umejuaje kama anakuangalia kama wewe humwangalii?
 
Upuuzi wa madem ni kwamba huenda anajuta kukukataa sasa anakuangalia sana ili kukuvuta au pengine hana uhakika na maamuzi yake ndo maana anakuangali sana,.... Cha kufanya mkaushie tu aangalie hadi jicho litoboke
 
Anakuangalia unavyotembea kama m d ada pole
 
Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena

atakuwa anashangaa jinsi unavyotongoza kizamani
 
Mimi hata sijaelewa! Mnakaa nyumba moja au huwa mnatafutana ili muangaliane?!

[Nahisi harufu ya uwanafunzi wa bweni au uwanachuo hapa]...Hivi hamjafunga Easter mkawasaidie wazazi mashambani?
 
Mimi hata sijaelewa! Mnakaa nyumba moja au huwa mnatafutana ili muangaliane?!

[Nahisi harufu ya uwanafunzi wa bweni au uwanachuo hapa]...Hivi hamjafunga Easter mkawasaidie wazazi mashambani?

Mkuu tuendelee kuwavumilia, SEMESTER II imeanza lkn haijachanganya bado
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…