Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Schizo..Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
kind of limbukeni fulani hivi! nadhani hii itakuwa thread ya mwisho kuisoma kutoka kwako nimeshajiridhisha kuwa wewe si mzima!!!
Mmmh, haya sasa. These are the mothers of tommorrow! Yako inathamani eehn?
I'm a mother of 2