Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

Sasa Mkuu ulitegemea nikushauri nin? Km likizo ya weak moja tu kwa mkeo ushatia mimba akienda mwezi si atakuta umefanya vikao vya harusi na umefunga ndoa mpya ungekua wew ndio umesafir ukakuta mkeo anamimba ungemuacha ndan? Na kumshauri atoe au??? Munaangaika Sana TULIENI KWENYE NDOA ZENU sasa huu ni mwaka wako wa aibu na wengine km wew wajifunze.
Mmh ila wana jf kama vile ni wachawi hivi wwngine , 😀 😀 😀 😀 ulijuaje kama likizo ya wife ilikua ni ya week moja tu

Daah salute kwenu
 
Tumsubiri tu huyo waziri wetu wa badae azaliwe.
 
Mmh ila wana jf kama vile ni wachawi hivi wwngine , 😀 😀 😀 😀 ulijuaje kama likizo ya wife ilikua ni ya week moja tu

Daah salute kwenu
Salute kwako pia pole Sana mkuu najua uko njia panda.
 
Hujaelewa swali langu bro..Nimemuuliza KWANINI alipiga peku sio KAMA alipiga peku..Najua alipiga peku ndo nikamuuliza hakufikiria before kama haya yanaweza kutokea..

nimekusoma ile kwann nilidhani ni kwani,
 
Hicho ndo ulikuwa unatafuta sasa umekipata tulia, tangu lini mchepuko unaenda peku?
Nilishamfanyia HIV screening
Nilikua nina 98 % sure kwamba yupo kwenye safe days

Sasa hapo niliona hakuna haja ya kula ndizi na ganda lake mkuu

I was totally wrong
 
Nilishamfanyia HIV screening
Nilikua nina 98 % sure kwamba yupo kwenye safe days

Sasa hapo niliona hakuna haja ya kula ndizi na ganda lake mkuu

I was totally wrong
Pole, tifu la home naamini litakuwa ni la heavy weight
 
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.

Umemshauri vizuri khs Kutotenda dhambi ya kuuwa Kiumbe, ila unamchukulia poa huyu mkewe... As if mkewe sio binadamu, hana Moyo wala hisia... Fikiria Ingekua ww ndo mwanamke umeolewa na umetulia kwenye ndoa, mumeo akuletee mtt wa nje ungejiskiaje? Ungemsamehe kirahisi eeh.. Au ww usafiri kisha mkeo achepuke na kupewa mimba ungemsamehe na kuendelea kuishi nae au ungemuacha? Unafkiri wanawake hatuumii matendo yenu? Mnajiona nyie ndo binadamu mnaumia ila sisi hatutakiwi kuumia mnataka tuvumilie upuuzi wenu na uzinifu wenu. Mxxyuuu. Naomba Mungu huyu mke adai talaka hata mahakamani.
 
Kama kichwa cha habar hapo juu,

Few weeks hivi nyuma nilipata kamchepuko na kwa bahat wife hakuwepo basi nikapanga kumeet nae. Siku ikafika nikapiga show mpaka kuchee

Baada ya siku chache mchepuko unaniambia umenasa mimba yangu. Nikasema isiwe shida kwa vile sio dent ingawa anaishi home kwao na wazazi nikasema ngoja nije kuhakikisha kwanza

Baada ya kuja nikapima kweli kitu ni positive nikawa relaxed ili asisome my emotional ili nimconvice ki siasa atoe ila daaah aisee

Demu kakataa kata kata anasema yee hawezi kutoa katu. Ubaya anajua kama nimeoa na anapajua hadi ninapoishi

Sasa hivi ananipa vitisho lukuki maara ooh usiniambie kabisa kuhusu kutoa tusije kufikishana mbali mara nitakuja sku moja kuonana na mrs wako ajue kuna mwenzake yaan daah akili yangu imechoka

Kweli michepuko kokoto ni balaaa hapa pozi lote limeniishia natamani hata muda urudi nyuma

Naomba wale waliokutana na situation kama hii hemu nipeni ushauri kidogo mliikwepaje huu mkasa
oya Jibebebee, Asa Jibebebee Si ujibebebee
 
Muwekee dawa za Kutoa mimba kwenye chakula.. Imeisha Iyo

Ingekua huyu mchepuko ni Dada yako au Binti yako ungeshauri aekewe sumu ya kutoa mimba? Au kwakua huna undugu na huyu Mchepuko ndomana unaona its fair yy kufanyiwa ukatili huo? Chunga mdomo wako
 
Hili ndio la msingi.

Mwanamke ukimletea mtoto wa nje, atabwabwajaaaaa mwisho wa siku atatulia.

Ndo mnavyo farijiana hivo eeh! Kwamba wanawake mazuzu tunavumilia upuuzi wenu. Je, mkeo akikuletea mtoto wa nje na ww pia utabwabwaja mwisho wa siku utanyamaza au utamfukuza na kumuacha? Mkuki kwa Nguruwe kwa binadam mchungu!! Usimfanyie mwenzio jambo ambalo hutopenda kufanyiwa.
 
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days

Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje

Unashangaa nn wewe? Kwani alikushikia Bunduki Umkojolee? Si ww mwenyewe umeponzwa na Miny*** yako! Umevuna ulichopanda usijifanye kuchanganyikiwa wala kumlaumu Dada wa watu wakati ulitaka mwenyewe.
 
Na ww kwann usitumie kondom? Pambana tu mzee baba umeyataka
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
 
We all know kuna baadhi ya makabila ni makorofi sna

Kuzaa na mtu wa kabila hilo ni kujiongezea matatizo kila uchao

Hata ww pia inaonekana Kabila lako lina matatizo sn kwa akili zako mgando na Kutia mimba Michepuko
 
Nilikua nina 98 % sure kwamba yupo kwenye safe days
Kalenda hufanya kazi vizuri sana kwa mtu ambaye hali zake zote ziko vizuri yaani afya ya mwili, akili, lishe na hali ya hewa. Lakini pia inabidi ujue anamzunguko wa siku ngapi. Kama mzunguko wake ni chini ya siku 27 au 28 njia ya kalenda daima huwa ni batili.
Huo ni msalaba wako mpya ubebe bila kuongeza mwingine wa kuua.
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom