Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

kumbe uko naye muda mrefu mpaka umeujua mzunguko wake wa mwezi?
hapo umelikoroga, kata mawasiliano mwambie huhusiki unasubiri DNA
au kubali lipasuke tu kwa wife na wewe mruke yaani kuanzia sasa usimfuate tene likisanuka mwambie wife huyo mdada si size yako
Aisee kaka unatoa ushauri wa kikatili kiasi hiki
 
We all know kuna baadhi ya makabila ni makorofi sna

Kuzaa na mtu wa kabila hilo ni kujiongezea matatizo kila uchao
Kama baba mtarajiwa una mawazo kama haya naamini hata mtoto akizaliwa hutokuwa na upendo nae.
 
Brother apandacho mtu ndicho avunacho kumbuka ulifanya kazi kwa bidii ukalima mpka jasho likatoka mda wa mavuno umekaribia unataka kuchoma shamba uunguze mazao,aiwezekani huo ni mzigo wako PAMBANA tu.
 
Brother apandacho mtu ndicho avunacho kumbuka ulifanya kazi kwa bidii ukalima mpka jasho likatoka mda wa mavuno umekaribia unataka kuchoma shamba uunguze mazao,aiwezekani huo ni mzigo wako PAMBANA tu.
Mkuu hapa ndo umefikia kweli uwezo wako wa mwisho wa kunishauri

Just u have to dig so fuckn deep to find the gold
Try ur best i know u can
 
Kumbuka kipimo cha mimba kusoma haimaanishi wewe ndio muhusika.
But ndo nishakua scape goat sasa mkuu

Kwan i witnessed her last bleeding

Kumaliza tu mm ndo nikachojoa

But she is not that smart to give me what is not mine ujue
 
mkuu umenishangaza kuuliza kama alivaa condom, huyo ni mwanachama wa kavukavu aisee mimba haiwez ingia na condom hata siku moja labda ipasuke kabla ya kukojoa
Hujaelewa swali langu bro..Nimemuuliza KWANINI alipiga peku sio KAMA alipiga peku..Najua alipiga peku ndo nikamuuliza hakufikiria before kama haya yanaweza kutokea..
 
Na bahati mbaya awe si mzuri kufananisha na mkeo
 
Na bahati mbaya awe si mzuri kufananisha na mkeo
Yaan kama ulimuona vile aargg sisi wanaume sjui nani katuloga

Abdul kichwa akisimama kichwa cha juu kinakua noble

Wife is 100000 times beautiful than her
 
Mkuu hapa ndo umefikia kweli uwezo wako wa mwisho wa kunishauri

Just u have to dig so fuckn deep to find the gold
Try ur best i know u can
Sasa Mkuu ulitegemea nikushauri nin? Km likizo ya weak moja tu kwa mkeo ushatia mimba akienda mwezi si atakuta umefanya vikao vya harusi na umefunga ndoa mpya ungekua wew ndio umesafir ukakuta mkeo anamimba ungemuacha ndan? Na kumshauri atoe au??? Munaangaika Sana TULIENI KWENYE NDOA ZENU sasa huu ni mwaka wako wa aibu na wengine km wew wajifunze.
 
Back
Top Bottom