Kama kichwa cha habar hapo juu ,
Few weeks hivi nyuma nilipata kamchepuko na kwa bahat wife hakuwepo basi nikapanga kumeet nae
Basi siku ikafika nikapiga show mpaka kuchee
Baada ya sku chache mbele mchepuko unaniambia umenasa mimba yangu nikasema isiwe shida kwa vile sio dent ingawa anaishi home kao na wazazi nikasema ngoja nije kuhakikisha kwanza
Baada ya kuja nikapima kweli kitu ni positive nikawa relaxed ili asisome my emotional ili nimconvice ki siasa atoe ila daaah aisee
Demu kakataa kata kata anasema yee hawez kutoa katu , ubaya anajua km nimeoa na anapajua hadi ninapoishi
Sahivi ananipa vitisho lukuki maara ooh usiniambie kabisa kuhusu kutoa tusije kufikishana mbali mara nitakuja sku moja kuonana na mrs wako ajue kuna mwenzake yaan daah akili yangu imechoka
Kweli michepuko kokoto ni balaaa hapa pozi lote limeniishia nataman hata mda urudi nyuma
Naomba wale waliokutana na situation kama hii hemu nipeni ushauri kidogo mliikwepaje huu mkasa