Alitaka nigombane na visura wa humu waliozoea chit chat!!Mh. Rais,
Na mie nikinunua Mikasi ya kukatia utepe, kiasi cha kama mikasi ya Tsh 2 Ml. Unaweza kunifikiria umakamu ?
Nakuahidi kukuwakilisha kukata mautepe kwenye maufunguzi ya Mahafla , Makongamano , hata Nusary school mi siachi , na pia Misibani na Maharusini, wewe kama Rais unaweza ukaweka sheria kuwe na kukata utepe ili makamu wako awe bussy !
Natangaza Nia.
Alitaka nigombane na visura wa humu waliozoea chit chat!!
Wenyewe wameshazoea kuulizana "nani handsome kati ya yule na huyu" halafu uanze kuwaletea hoja za "kwa nini Kikwete asipunguze ukubwa wa serikali yake?" HUJITAKI?Alaaa kumbe ! Umemstukia , na kweli Samaki hafunzwi kuogolea !
Na ikibidi kumfundisha lazima umfundishie kwenye maji.
Nchi kavu mafunzo kwishynehi .
mambo konnie?mphamvu, ninatengua huo urais kuanzia sasa.
Tutafanya uchaguzi kabisa, mie sikubali.
Ila suala la kiggy kuwa bridge ya CC na JS nauunga mkono
ataapisha baada ya uchaguzi wa rais kufanyika.
mphamvu, ninatengua huo urais kuanzia sasa.
Tutafanya uchaguzi kabisa, mie sikubali.
Ila suala la kiggy kuwa bridge ya CC na JS nauunga mkono
ataapisha baada ya uchaguzi wa rais kufanyika.
Mh. Rais,
Na mie nikinunua Mikasi ya kukatia utepe, kiasi cha kama mikasi ya Tsh 2 Ml. Unaweza kunifikiria umakamu ?
Nakuahidi kukuwakilisha kukata mautepe kwenye maufunguzi ya Mahafla , Makongamano , hata Nusary school mi siachi , na pia Misibani na Maharusini, wewe kama Rais unaweza ukaweka sheria kuwe na kukata utepe ili makamu wako awe bussy !
Natangaza Nia.
Duh!! Yale mambo ya uchadema na uccm tayaache kulekule ndugu!! Huku ni kujirusha kwa kwenda mbele.
Kongosho unajua anayeua kwa upanga naye uuawa kwa upanga? Umempindua Mphamvu na wewe jua iko siku utapinduliwa!!mphamvu, ninatengua huo urais kuanzia sasa.
Tutafanya uchaguzi kabisa, mie sikubali.
Ila suala la kiggy kuwa bridge ya CC na JS nauunga mkono
ataapisha baada ya uchaguzi wa rais kufanyika.
naanza kukufikia, naona huyu mteule analeta kitu kujua.
Sasa hivi nitakinukisha...
Umeshapinduliwa mzee watu wanampigia saluti Kongosho na wewe umeshatangazwa kuwa ni mhaini!! Hama jukwaa kajifiche kwenye jukwaa la lugha kule hakuna wanaa!!
Bwacha! Bwacha!Bwacha! bwacha! Bwacha!Huyu si wa kumpa lifti atang'ang'ania kukata kona bure