Nimemtafuna mke wake...!

sasa hapo mi sijaelewa kuna uhusiano gani kati ya majungu na kulipa kisasi kwa kumtafuna mke wa best yake
 
Hongera maana umeona umefanya la maana.
 
kotembea na mke wa mtu ni dhambi kubwa ana mbele za Bwana Mungu
 
Mkeo yuko salama? usije unalialia hapa siku moja..tumekuweka kwenye hansadi
 

Mla hulwazee
 
Gross and disgusting! Yakhhhh
 


umemlia mkewe na umekuja huku kujitangaza jamaa sasa kajua......nawe subiri akutafutie wakora wakutoboe mpaka baaasii.... akupge mapicha kbao na yeye aje jf afungue thread; picha jamaa aliyemla mke wangu akiliwa live......pole punga mtarajiwa
 
hujafanya vizurii..ungeushinda ubaya kwa wema
 
Huyu jamaa ukimchunguza vizuri ndio chanzo cha mgogoro wa hiyo ndoa ya rafiki yake. Nini kilikuwa kinawagombanisha mpaka akaamua kutembea na mkewe, kwa mbaliii naona jamaa alishaanza kumuhisi kuwa na yeye ni mmoja wa wanaommega mkewe. Kwa mazingira aliyosema ya kupewa nafasi na huyo mwanamke kwa siku nyingi. Mimi ndoa yangu hasuluishi mtu nitamalizana nae mwenyewe nikishindwa kanishinda. Basi.
 

kumbuka siku zote muosha huoshwa pia...malipo hapa hapa duniani mdau.
 
two wrongs cant make one right!!!
 
duh! bora dushelele ingeka na macho haya yote yasingetokea! mla vya wenzie na vyake huliwa sasa subir nawe wakusanulie mkeo.
 
i won't judge you based on your age ... but if you are old enough to be called a man, then you should really feel sorry for yourself!
 
umekosea sana ungekula mkewe, binti yake na house girl yake ndo ingekuwa mwake mwake babake!
 
pia wewe unahtaji msaada, alichofanya siyo sawa na unachodhani pia sio sawa

Vp Mkuu, jiwe gizani sio? Chunguza tu au hata wewe kama una katabia hako, utagundua una mapugufu Fulani. Chunguza hata wanawake, wale wanaodhamiria sana kusaka waume za watu huwa wana mapungufu Fulani kihaiba au mwonekano, achana na wale waliowahi kufanya kwa bahati mbaya. Kuprove hili utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake wanaofumaniwa na waume za watu huwa hawana mvuto anaotarajiwa kuwa nao mtu alieharibu uhusiano wa mtu.
 
Ninawashukuru na kuwapongeza sana wana JF kwa kukemea tabia mbaya Kama hizi za huyu kijana aliyepungukiwa na maadili, ipo siku Mungu atamlipa kadri ya atendavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…