Nimemsikiliza Ridhiwan, Bado

Nimemsikiliza Ridhiwan, Bado

ridhiwani ameshaanza kutimiza ahadi zake kwenye jimbo lake au ilikuwa mtaji wa kupata kura

hata asipotimiza atashnda mbona Jk alikaa zaidi ya twenty kwenye ubunge na hakuwatimizia watu wa Pwani wameshazoea na system ya umaskini
 
Mbunge mtoto bado anamaziwa babayake kamuwaisha sana angeanza na ukatibu kata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom